Mara baada ya kurejea kwa ligi kuu ya nchini Ujerumani, Bundesliga sasa ni hakika kuwa kuna mbio kubwa sana za kuwania kiatu cha dhahabu kwa Lewandowski v Werner
Mchezaji wa klabu ya soka ya Bayern Munich, Robert Lewandowski na yule wa klabu ya RB Leipzig, Timo Werner wamekuwa wakali sana msimu huu kwenye ligi ya Bundesliga wakifanya poa sana katika ufungaji magoli. Mpoland huyo anaongoza akiwa na jumla ya mabao 25 mpaka sasa wakati naye Werner akiwa na jumla ya mabao 21 katika jumla ya gemu 25 alizocheza.
Washambuliaji hawa maridadi kabisa wanarejea tena uwanjani wikiendi hii wakiendeleza msako wa kuwania kiatu cha dhahabu yaani Golden Boot wikiendi hii. Lewandowski anatarajia kutwaa tuzo ya tatu ya Golden Boots mfululizo. Naye Werner, ambaye ana umri wa miaka nane pungufu kwa jamaa huyo wa Poland anategemea kuvunja historia hiyo.
Hali ni tete sana katika mbio za kuwania taji
Msimu huu wa Bundesliga ni mmoja kati ya misimu migumu sana na utata mwingi sana katika historia za hivi karibuni. Bayern wameshinda mataji saba ya ligi hiyo. Hata hivyo, msimu huu wanakabiliwa na ugumu sana wakiwa wanaelekea kumaliza msimu.

Msimu huu klabu ya soka ya Leipzig wameibuka na kuwa wagombea wakubwa wa taji pamoja na upande wa kocha Favre. Ni alama tano pekee ambazo zinawatofautisha Bayern na wale wanaokalia nafasi ya tatu, Leipzig. Wamebakiwa na gemu sita zilizosalia kuchezwa, mambo yanakuwa matamu zaidi.
Union Berlin v Bayern Munich – Bundesliga
Union Berlin ni timu ambayo inategemea sana sapoti ya mashabiki zao na hivyo itakuwa inaburudisha mno kuona namna watakavyocheza bila ya uwepo wa mashabiki hao. Wamepoteza mechi tatu kati ya mechi tano zilizopita ambazo wamezicheza, hivyo ni wakati sahihi wa kupambana na Bayern. Kitu ambacho mimi binafsi nimekigundua katika mikeka ya ligi ya Bundesliga katika miaka michache hii iliyopita ni kuwa Bayern huwa wanamaliza msimu wakiwa na moto wao ule ule kama wa mwanzo.
Mabingwa wanaochipukia wanarudi tena kileleni na wameshinda mechi tisa kati ya mechi kumi zilizopita ambapo mechi saba kati ya hizo zimekuwa za ushindi wa handicap. Nategemea ushindi mwepesi sana hapa, ni hakika kabisa. Ngoja tuone leo itakuwaje?


lombo
meridianbet mpo juu kwa habar moto moto
Adelta
Meridianbettz mnatisha
Elika
Asanteni kwa taarifa#meridianbet
mwakalosi
Robert hana mpinzani kwa sasa kwenye bundesliga
Mariam mtandama
Meridianbet muko juu
Salma
Mko vizuri kwa taharifa
Ester mmakasa
Iko poa hii taarifa mnazotupatia ni motomoto.
Rehema
Safi sn meridianbet kwa habari njema
Neema juma
Hata leo mambo yatakuwa fresh kwa sababu bado wananguvu nyingi.
Hamidu
Fundi wa mpira lewandoski. Nakumbuka wakati ule yupo dortimund alifanya yake
Walipokutana real madrid akafunga goal 4 peke yake.
Dorophina
Robert ndo kiboko yao kwa sasa
Antony Luseno
Kwa msimu huu kiatu ni chako lewandowski
Emmy cleopa
Ahsantei sana kwa kutupa taarifa #meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Mpovizuri kwatarifa
Ester jackson
Aendelee na kasi yake hiyo hiyo ili apate anachotaka
frank patrick
Ningetamani sana kumuona Timo anampiku Lewa kwenye upachikaji wa mabao msimu huu
Theckla
Lewandowski kiatu ni chako pambana tu
Zeiyana iddi
Bayern Munich wapo vizuri hawezi..!kikombe lazima kiende kwao
Samiah
Bayern lzm kikombe kiende kwao
Agness
Asantee kwa taarifa meridian
Mwajuma
Robert kiatu hicho lazima kitamuhusu
Rehema Dickson
Jitihada uzaa matunda jitaidi tu utapata
aisha
bayern lazima wapate kikombe
Povel
Robert lewondowski atachukuwah kiatu cha ufungaj bora
SADICK
Mwisho wa msimu tutajua nani anaondoka na kiatu cha dhahabu#meridianbettz
khadija
lewandoksi fundi anajua
Evaluziga
Asanteni kwa taarifa meridian
Asha
Meridian mpo vizur
winfrida
nawakubali sana meridian kwa habari nzr
David pere
Hakuna mwingine zaidi ya Robert kiatu chake tu
Ernest
Lewandowski Kazi anayo maana vijana wanakuja kasi sana kwenye kufumania nyavu.
Mwanaidi
Lazima achukue kiatu msimu huu
Aziza mushi
Asanteni meridian kwa taarifa
Tahiya
Tusubiri mwisho wa ligi tuone nani ni nani
Carolyne
Kiatu cha dhahabu dah ni atari
Furahav
Timo atachukua mana anajua,kucheka na nyavu.
geniaskaluzwe8
Meridian ahsant kwa taarifa zuri
Kenani
Hapatoshi
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa meridian
Hope mwaikuka
🙏 kwa taarifa nzur nzur
felister
tungoje tuone mwisho wa msimu nani atawania kiatu cha dhahabu
sylvester
Msimu bomba ndio sasa wa Bundesliga kiatu nampa Lewandowski kwa 100%
Gabriel
Good news 👍# meridianbettz
Amani
Robert kiatu hicho lazima achukue #meridianbettz