Klabu ya Villarreal kutoka Hispania imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa katika fainali iliyochezwa hapo jana dhidi ya klabu ya Manchester United.

Nyambizi hao wa manjano wa mefanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati baada ya David Degea wa United kukosa mkwaju wa mwisho. Dakika 90 timu hizo zilitoka 1-1 magoli ya gerard Moreno dk (29′) na Edinson Cavani dk (55′).

Man Utd amepoteza fainali 3 za European Major alizokutana na timu kutoka Hispania

โŒ 2009: Lost vs. Barcelona (UCL)
โŒ 2011: Lost vs. Barcelona (UCL)
โŒ 2021: Lost vs. Villareal (UEL)

Fainali 4 zilizopita za Europa League Kati ya timu za Hispania dhidi ya timu za Uingereza

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 2006: Sevilla 4-0 Middlesbrough
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 2010: Atlรฉtico 2-1 Fulham
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 2016: Sevilla 3-1 Liverpool
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ 2021: Villarreal 1-1 Man Utd (Villarreal Penati 11-10)

Vilabu vya Chelsea na Villarreal ndio vilabu pekee vilivyochukuwa kombe bila kufungwa katika historia ya Europa League.

๐—–๐—ต๐—ฒ๐—น๐˜€๐—ฒ๐—ฎ (๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿญ๐Ÿด/๐Ÿญ๐Ÿต)
WWWWWDWWWWWWDD๐Ÿ†

๐—ฉ๐—ถ๐—น๐—น๐—ฎ๐—ฟ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐—น (๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฌ/๐Ÿฎ๐Ÿญ)
WWWDWWWWWWWWWD๐Ÿ†


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa