Vodacoma Premier League Kuendelea

Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amesema anasubiri ushauri wa wataalamu wa afya ikiwezekana Vodacom Premier League iendelee.

Katika hafla ya kumuampisha waa Waziri mpya wa Katiba na Sheria Dr Mwigulu Lameck Nchemba, Raisi aligusia uwezekano wa kuendelea na Ligi kwani hakuna mwanamichezo aliyeugua au kukutwa na Corona, yeye anaona ni bora Ligi iendelee kwani wachezaji watakuwa na utimamu wa mwili kuliko kukaa nyumbani.

Hii imekuja kuzima tetesi za kumalizika kwa Ligi kwani hivi karibuni kumekuwa na tetesi wadau mbalimbali wakitaka Ligi imalizwe na Simba apewe ubingwa lakini bado TFF na bodi ya Ligi haijasema chochote.

Kikosi cha Simba

Magufuli amesema “Nafikiria hata kuruhusu ligi iendelee kwani sijasikia mchezaji yoyote kakutwa na maambukizi, kwasababu wanafanya mazoezi. Sasa wakikaa nyumbani ndio wanaweza kupata maambuki, nasubiri ushauri wa wataalamu wangu. Tutaweka utaratibu mzuri kama Ligi itaendelea.”

Kwasasa kwenye msimamo Simba ndio inaongoza kwa alama ikifuatiwa na Azam kisha Young Africa (Yanga).

33 Komentara

    Itakua poa sana ligi ikianza

    Jibu

    Iyo imekaa poa sana

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    V.p.l tunaisubiri kwa hamu

    Jibu

    Bora ligi iendelee maana tuna timu ilishaanza kujitangazia ubingwa mapema bila hata aibu

    Jibu

    Iko sawa

    Jibu

    Bora ligi iendelee.timu zirudi uwanjani

    Jibu

    Itakua poa sana

    Jibu

    Fresh tu tupewe chetu

    Jibu

    Tuombe mungu majibu ya wataalamu yawe mazuri ili tuendelee kupata burudani tukiwa majumbani

    Jibu

    Iyo Safi sana

    Jibu

    Iko Poaw sana

    Jibu

    itakua vizuri ligi zikiendelea lkn je kuhusu upande wa mashabiki itakuaje apo…?

    Jibu

    Acha uhondo urudi

    Jibu

    Da mungu ajalie irudishwe

    Jibu

    Iko vizuri sn

    Jibu

    Tumemisi kupuliza mavuvuzela jamaniπŸ˜„

    Jibu

    Baba jesca atuache kwanza mpk corona iishe maana raha ya mchezo mashabiki

    Jibu

    Ni nzuri sana hii,kwasababu wacheza wote wanajuwa jinsi ya kujikinga .

    Jibu

    Safi Sanaaaa tuendelee kuburudika

    Jibu

    Itakuwa poa.

    Jibu

    Bora ianze Mpira uwendelee 2 maana tumemic mpira

    Jibu

    Itakuwa sawa

    Jibu

    Apa nasubilia chama langu tu lichukue kombe

    Jibu

    Iko sawa

    Jibu

    Watu wa msimbazi hatutaki ushindi wa mezani kama kandambili sisi

    Jibu

    Iko pouwa kwa kweli

    Jibu

    Bora simba ipewe ubingwa

    Jibu

    safi sana kama kiongozi unatakiwa kua na moyo wa ujasiri na kuwatia moyo wafuasi wako.
    asnte kwa kutaka kuirejesha tena ligi yetu ya VPL

    Jibu

    Wafanye warudi ili tumalize ubishi

    Jibu

    Safii rais wa jamuhuri wa muungano penda sana maamuzi yke

    Jibu

    Waruditu ili tue mfano kwa mataifa mengine kupinga iligonjwa la corona kwenye michezo ……

    Jibu

    Warudi tu mpirani msimbazi tuchukue ubingwa wetu

    Jibu

Acha ujumbe