Wachezaji 7 wa Genoa Wanaendela Kutengwa

Wachezaji wa Genoa wataendelea kusubiri karantini.

Kocha wa Genoa, Rolando Maran anajiandaa kukabiliana na Hellas Verona usiku wa leo na wachezaji saba wametengwa kutokana na maambukizi ya virusi va corona.

Bado kuna wachezaji saba ambao wana corona katika kikosi cha Genoa na kwa mujibu wa Tuttosport kunatarajiwa kuwa mabadiliko makubwa yanaweza ni Matti Perin.

Alberto Paleari, ambaye alifika kabla ya kushushwa kwa pazia la soko la uhamisho mnamo Oktoba 5, anaweza kuchukua nafasi golini, hata kama Perin amepona maambukizi ya Corona.

VERONA vs GENOA
Bashiri mechi hii HAPA

David Zappacosta, Lukas Lerager, Francesco Cassata, Mattia Destro, Petar Brlek, Domenico Criscito na Darian Males, wote bado wako nje kwa sababu ya corona.

Wachezaji hawa wote wataendelea kutengwa kwa sasa hadi watakapokamilisha vipimo na kuonesha kuwa hawana tena maambukizi ya Corona.


 

Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

10 Komentara

    Duuh Corona sio poa kabisa inasababisha tunajitenga na wapendwa wetu

    Jibu

    Duh covid 19 janaga la dunia kikubwa kufuata utaratibu kutok kwa wataalamu wa AFYA ,eeh mungu tuondoleh janga hili

    Jibu

    Duh Sana wengi sanaa

    Jibu

    tahadhali muhimu kuliko tiba wawekwe tu pembeni wafanyiwe uchunguzi

    Jibu

    Mungu tunaomba utuondolee corona

    Jibu

    Huu Ugojwa sio poa

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Corona sio nzuri

    Jibu

    Corona ni tishio sasa dunian

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.