Watford Yamtimua Ranieri

Klabu ya Watford imemfukuza kocha wake Claudio Ranieri ndani ya miezi mitatu tokea apewe kibarua cha kuinoa klabu hiyo ambapo awali alisainishwa na kupewa mkataba wa miaka miwili.

Watford walimuajiri Ranieri mwezi Oktoba baada ya kutumikia miaka miwili nje ya Uingereza, huku kufungashiwa virago kwa Xisco Munoz, ndio mwanga mpya wa muitaliano huyo mwenye miaka 70 kupata nafasi tena kwenye EPL.

Ranieri amefanikiwa kuingoza Watford kwenye michezo kumi na nne huku akiwa ameshinda michezo miwili tu mmoja ukiwa dhidi ya Everton kwenye dimba la Goodison Park huku mwingine dhidi ya Manchester United.

Mchezo wa mwisho aliopoteza dhidi ya Norwich City kwa 3-0 huku akiwa na hasira na wachezaji wake ambapo ukiwa mchezo wa nane kupoteza katika michezo tisa ya mwishoya ligi na vikombe, huku akiwakalipia wachezaji “kuwa yeyote mabye haelewi midumo yake anaweza kwenda nyumbani.”


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe