Martial Kutua Sevilla Wiki Hii.

Sevilla na Manchester United wamefikia makubaliano ya usajili wa Anthony Martial kwenye dirisha hili la usajili.

Martial aliweka wazi adhma yake ya kutaka kuondoka United mwezi huu na, lengo lake lilikua kwenda Sevilla akiamini kuwa, huko ndiko anapoweza kupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.

Malengo wa Anthony yalithibitishwa na Ralf Rangnick baada ya kusema ni kweli, amepokea maombi ya mchezaji huyo kuondoka United mwezi huu na kwamba, kwa upande wake hana tatizo na hilo. Kipengele kikubwa kilikuwa ni makubaliano kati ya United na timu inayomtaka.

Juventus, Barcelona na Sevilla wote walikuwa wakimuwania Anthony na sasa, Sevilla ndio wameshinda baada ya kufikia makubaliano ya kulipa mshahara wote wa mchezaji huyo kwa miezi 6 ijayo.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe