Nadal Atua Nusu Fainali Australian Open

Mashindano ya Australian Open 2022 yanaendelea kunoga, hatua ya nusu fainali hiyo kurindima. Rafael Nadal, ndani ya nyumba.

Licha ya kuhitajika kuvishinda vikwazo vingi uwanjani, Nadal amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya ushindi dhidi ya Denis Shapovalov. Huu ni mchezo ambao ulihitaji seti 5 kuamua bingwa kati ya wawili hawa.

Baada ya matokeo ya seti  6-3 6-4 4-6 3-6 6-3, Rafael amefanikiwa kufika hatua ya nusu fainali ambapo, atachuana na mshindi kati ya Matteo Berrettini na Gael Monfils.

Endapo Rafael atafanikiwa kutwaa ubingwa mwaka huu, itakuwa ni ubingwa wake wa 21 wa Grand Slam na, atawapiku wapinzani wake wa muda wote – Novak Djokovic na Roger Federer.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe