Watendaji wa michuano ya Wimbledon wako katika mkutano na serikali ya Uingereza kujadili kuhusu wachezaji wa Urusi kushiriki katika michuano ya mwaka huu.

 

wimbledon, Wimbledon 2022 : Mazungumzoni Kuruhusu Wachezaji wa Urusi., Meridianbet

Taarifa zinasema mchezaji namba mbili kwa ubora duniani, Daniil Madvedev anaweza kufungiwa kushiriki michuano ya mwaka huu inatorajiwa kufanyika nchini Uingereza.

Wanamichezo wa Urusi na Belarus mpaka sasa wameruhusiwa kucheza katika michuano ya ATP, WTA na ITF kwa kucheza bila bendera za nchi zao na bila kupigwa kwa nyimbo zao za Taifa.

Lakini inasemekana klabu zote za England ambazo zitakazoandaa michuano ya Wimbledon hazitaruhusiwa kuwafungia wachezaji kutoka kwenye nchi hizo bila kibali maalumu.

Michuano ya Wimbledon 2022 inatarajiwa kuanza Jumatatu, June 27 na kudumu mpaka siku ya Jumapili, July 10.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa