Zidane : Madrid Wamekosa Imani na Mimi.

 

Meneja Zinadine Zidane ameweka wazi sababu za kuondoka ndani ya Real Madrid huku akidai sababu kubwa ni viongozi kukosa imani nae.

 

Zidane Kuachana na Real Madrid.

“Nimeamua kuondoka Madrid kwakuwa ni wazi viongozi na media hawana tena imani na mimi ndani ya klabu hii. “alianza Zidane

“Mara zote kupitia vyombo vya habari utasikia vitisho kuwa nisiposhinda mchezo nitafutwa kazi, nayasikia hayo na hata jumbe za siri za viongozi zinavuja kwenda kwa wanahabari.

“Bahati nzuri kila jambo likitokea wachezaji wangu walikuwa upande wangu na walifanya kila kitu uwanjani kwa ajili yangu, kwakuwa wananiamini nami nawaamini

“Sisemi kuwa mimi ni bora sana bali napopewa kazi nafanya kile nilichotumwa kwa nguvu yangu na uwezo wangu na mara zote nimetimiza.” alimaliza.

Maneno ya Zinadine Zidane kwa mara ya kwanza tangu aondoke Real Madrid, sababu kuu ikiwa ni viongozi na media hata kuondoka kwake hakupewa Press Conference kwakuwa viongozi wamechukizwa na kitendo chake.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 Komentara

    Pamoja na kukosa imani na yeye ila watamkumbuka

    Jibu

    Watamkumbuka sana zidane

    Jibu

Acha ujumbe