Carragher: Haaland ni Mchezaji Hatari Kwenye Epl.

Usajili wa msimu wa kiangazi Erling Haaland ana sifa za kuwa mchezaji bora zaidi kuwahi kumuona kwenye Ligi ya Uingereza, alisesema mchambuzi wa michezo Jamie Carragher.

Carragher: Haaland ni Mchezaji Hatari Kwenye Epl.

Haaland amecheza akiwa na Manchester City, na kuwa mchezaji wa kwanza Epl kufunga mara tisa katika mechi zake tano za kwanza, huku akifunga mabao matatu mfululizo “Hattrick” dhidi ya Crystal Palace na Nottingham Forest yakiibua matarajio ya hatari kwenye suala ya kinara wa mabao kwenye Epl mwisho wa msimu.

Carragher: Haaland ni Mchezaji Hatari Kwenye Epl.

Raia huyo wa Norway aliwasili Uingereza akiwa ni moja ya wachezaji waliotazamwa sana na kutabiriwa makubwa, huku Carragher akiamini kuwa Ligi ya Uingereza inashuhudia kitu maalum kuwa na mchezaji huyo.

Carragher: Haaland ni Mchezaji Hatari Kwenye Epl.

Alipoulizwa kutaja klabu gani ilikuwa na dirisha bora na usajili wake wa majira ya joto, Carragher aliiambia Sky Sports News: “Manchester City wamekuwa na dirisha zuri sana. Walipoteza wachezaji wengi wa kushambulia, lakini wamewasajili wachezaji kama (Julian) Alvarez, ambaye tayari anaonekanakuwa bora sana, na Haaland inaonekana ni mchezaji hatari.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.