Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Brazil Gabriel Jesus ameandamwa na ukame wa mabao klabuni hapo, Hii ni baada ya kushindwa kufunga kwa muda mrefu ndani ya timu hiyo.
Hali hii imemkumba nyota huyo baada ya kushindwa kufunga kwa takribani michezo nane katika michuano yote. Hali hii imeibua mjadala mkubwa kwani staa huyo wa zamani wa klabu ya Man City kwani alianza vizuri ndani ya timu hiyo.
Staa huyo ambaye amekua kwenye kiwango kizuri ndani ya timu hiyo kabla ya kuandamwa na ukame huo kwani staa huyo atayari alishaifungia klabu hiyo mabao matano kwenye michuano ya ligi kuu ya Uingereza. Huku akishindwa kufunga bao hata moja kwenye michuano ya ulaya msimu huu.
Staa Gabriel Jesus amejikuta kwenye presha kubwa baada ya kucheza michezo nane ndani ya klabu ya Arsenal, Na hii inampa wakati mgumu zaidi staa huyo kwenye kipindi hichi ambacho michuano ya kombe la dunia ambayo inakaribia kuanza.
Hofu ni kua staa huyo huenda asipate nafasi ya kuchaguliwa kwenye timu ya taifa ya Brazil kutokana na ukame wake wa kuzifumania nyavu siku za hivi karibuni.
Licha ya Jesus kushindwa kufunga mabao kitu kizuri kutoka kwake ni namna ambavyo amekua akicheza kwa kiwango kizuri na kuisaidia timu yake kupata matokeo mazuri.
Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.
BONYEZA HAPA

