Allegri: Inabidi Tufanye KLazi ya Ziada ili Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya

Kocha wa klabu ya Juventus Massimilano Allegri amesema klabu hiyo inahitaji kufanya kazi ya ziada ili kuhakikisha inaweza kufuza ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa 2023/24.

Klabu ya Juventus inashika nafasi ya kumi kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Italia kutoka nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya kupokonywa alama 15 kutokana na kufanya udanganyifu wa matumizi klabuni hapo, Ndipo Kocha Allegri akasema wanatakiwa kufanya kazi ya ziada ili kushiriki ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao.allegriJuventus walikua na alama 37 wakiwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu nchini Italia Serie A lakini baada ya kuponywa alama 15 wameshuka hadi nafasi ya 10 kwenye msimamo, Jambo ambalo linaonekana gumu kwa wao kuweza kurudi kwenye mbio za kugombea nafasi ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya.

Kocha Massimiliano Allegri amewataka wachezaji wake kuonesha umoja baada ya kupewa adhabu hiyo huku wakiangazia michezo inayokuja mbele yao, Huku akiwataka kuhakukisha wanapata alama katika michezo inayofuata ili kuwaeka mahali pazuri.allegriKlabu ya Juventus Kesho itakua na mchezo dhidi ya klabu ya Atlanta katika dimba la lao nyumbani la San Siro, Huku kocha Allegri akiwataka wachezaji wake kuhakikisha wanashida mchezo wa kesho ili waweze kufikisha alama 25 pia kuachana na masuala ya kesi kwani hayo yapo nje ya uwezo wao zaidi wao ni kuangazia zaidi michezo iliyo mbele yao.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.