FISTON KALALA MAYELE, unaweza kusema alizwaliwa ili kufunga yeye hajui chenga wala nini, ni anajua kufunga muda wote ana hamu ya kushangilia tu kwa kutetema, na ndiye kinara wa wafungaji bora wa Ligi kuu ya NBC msimu huu wa 2022/23. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Lakini wahenga walisema usijisifu una mbio msifu na anayekukimbiza, bila ya wachezaji wengine huenda Mayele angerizika na kukaa bila kujituma, Meridianbet Sports wanakuletea Orodha ya wafungaji bora wa msimu huu mpaka sasa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.
Wafungaji bora NBC 2022/2023
1. Fiston Mayele – Yanga SC – 15
2. .Saidoo Ntibanzonkiza – 10
3. Moses Phiri – Simba sc -10
4. Bruno Gomez (Singida Big Stars ) – 10
5. John Bocco (Simba Sports Club) – 9
6. Sixtus Sabilo – Mbeya City Council – 8
7. Pape Ousmane Sakho – Simba SC – 7
8. Reliant Lusajo – Namungo FC – 6
9. Idris Mbombo – Azam Fc – 6
10. Feisal Salum – Yanga Sc – 6
11. Tariq Seif – Mbeya City = 5
12. Amza Moubarak – Coastal Union – 5
13. Meddie Kagere – Singida Big Stars – 5
14. Aziz Ki – Yanga SC – 4


