Mason Mount 'Mguu ndani Mguu Nje' Chelsea

Mustakabali wa Chelsea wa Mason Mount uko mashakani kutokana na pande hizo mbili kutofautiana kwenye mkataba mpya. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

mount

Mazungumzo kati ya Chelsea na Mount yalisitishwa baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, kukataa ofa akihisi kuwa inamfanya kuwa chini ya kile ambacho wachezaji wengine waandamizi na usajili wapya wanalipwa hapo Stanford Bridge.

Mount amebakiza miezi 18 katika mkataba wake wa sasa na anataka kurudisha mshahara wake wa paundi 80,000 kwa wiki, lakini klabu hiyo inatoa kiasi kidogo kuliko inavyowalipa wachezaji ghali kama Raheem Sterling.

Mazungumzo yanatarajiwa kuanza tena wakati fulani na yatakuwa jaribio la kuvutia chini ya utawala mpya wa Todd Boehly. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Baada ya kutumia zaidi ya paundi milioni 300 kununua wachezaji mnamo Januari pekee, wachezaji kutoka akademi ya Chelsea kama Mount wanatamani kuonekana kama sehemu muhimu ya siku zijazo na sio kuchukuliwa kawaida.

Mount alifuzu kupitia akademi ya Chelsea na kufanikiwa kushinda Ligi ya Mabingwa akiwa na klabu hiyo na kuichezea Uingereza katika michuano miwili mikubwa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

 

enzo fernandez

Lakini sasa hana uhakika na hadhi yake katika klabu hiyo baada ya kuvunja rekodi ya uhamisho ya Waingereza kwa kulipa paundi milioni 107 kwa Enzo Fernandez, na kutumia paundi milioni 89 kumnunua Mykhailo Mudryk msimu wa baridi akitokea Ukraine. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.