Mrithi wa Joao Cancelo Aongezewa Mshahara

Kinda anayefanya vizuri Rico Lewis ambaye ni kama mrithi wa Joao Cancelo anatazamiwa kupata nyongeza ya asilimia 400 ya mshahara katika mkataba mpya Manchester City, huku kikosi cha Pep Guardiola kikitafakari mwanzo wao mpya bila nyota huyo wa Ureno. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

rico lewis

Cancelo, ambaye alimaliza kuondoka ghafla na kwa uchungu kwenda Bayern Munich kwa mkopo wiki iliyopita, hatarajiwi kurejea Etihad mwishoni mwa msimu huu baada ya kutofautiana na Guardiola kwa kukosa muda wa kucheza.

Ingawa Cancelo alicheza mechi 26 katika michuano yote kabla ya kuondoka, nyota huyo alitumiwa mara chache na Guardiola kuliko misimu iliyopita, huku kocha huyo wa Hispania akitaka kumpatia nafasi zaidi Lewis mwenye umri wa miaka 18, ambaye alimvutia sana kiuchezaji.

Akiwa amecheza mechi tano kati ya sita zilizopita za Premier League chini ya Guardiola, Lewis ameshinda mechi nane za ligi kufikia sasa kwa msimu huu. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Pia alikua mfungaji mabao mdogo zaidi katika klabu hiyo katika Ligi ya Mabingwa, akifunga bao katika ushindi wa 3-1 wa City dhidi ya Sevilla mnamo Novemba.

Katika hali ya kumtuza chipukizi huyo kwa kiwango kizuri msimu huu, Manchester City inaripotiwa kumpa Lewis nyongeza ya mshahara kutoka £5,000 kwa wiki hadi £25,000 kwa wiki katika mkataba mpya.

Kwa mujibu wa Daily Star, mkataba huo utamfunga beki huyo wa kulia kwa miaka mitano ijayo pale Etihad. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Kufuatia kuondoka kwa Cancelo kwa mbwembwe, Guardiola anakabiliwa na uhaba wa wachezaji kwenye beki wa pembeni, huku akiwa na machaguo ya Kyle Walker, Lewis, na Sergio Gomez waliosajiliwa majira ya joto pekee kwenye kikosi. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

 

cancelo

Hata hivyo, huku wachezaji wa kati Nathan Ake na Aymeric Laporte wakicheza nafasi ya beki wa kushoto hadi sasa msimu huu, City hawakushawishika kufanya usajili kwenye dirisha dogo lililofungwa mwishoni mwa mwezi Januari.

Bayern Munich ina chaguo la paundi milioni 60 kumnunua Cancelo kabisa mwishoni mwa msimu. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.