Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba SC Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo “Robertinho” amepewa tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi, lakini watu wengi wameonekana kukosoa uamuzi huo wa TFF kwa sababu kwamba hakupaswa kuchukua tuzo hiyo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Kipi kimempa Tuzo Hiyo Robertinho?
Meridianbet Sports tumechambua sababu mbili za msingi zilizomfanya Kocha Robertinho kupatiwa tuzo hiyo tofauti na wengi wanavyofikiri, sababu hizo ni ni kama ifuatavyo: Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
-
Idadi ya Mechi
Mwezi Machi hakukuwa na mechi nyingi za Ligi kwa sababu ya kalenda ya FIFA na michezo ya kimataifa ya CAF, Karibia kila timu ilicheza mchezo mmoja mmoja tu hivyo inakua ni rahisi kupima kiwango cha timu kwa muda huo.
2. Idadi ya Mabao
Idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa yamechangia kwa kiasi kikubwa kocha huyo kupewa tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi, Simba SC ni timu pekee iliyofunga mabao mengi na kutoruhusu bao la kufungwa “Clean Sheet” alifunga magoli 3-0 dhidi ya Mtibwa, huku Yanga akishinda mabao 3-1 dhidi ya Geita Gold FC.
Hivyo utaona utaofauti hapo lakini kubwa zaidi hakuna timu nyingine ya Ligi kuu iliyofunga zaidi ya mabao 3 na kutoruhusu bao hata moja. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

