Zinedine Zidane Ahitajika Chelsea

Chelsea wamekuwa wakihusishwa na kocha mkuu wa zamani wa Real Madrid Zinadine Zidane kama mbadala wa Graham Potter aliyetimuliwa kwa matokeo mabaya ya The Blues, lakini mabosi wa timu hiyo wanaonekana kupendelea uteuzi wa makocha wengine wenye majina makubwa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

Zidane

Zidane alicheza katika timu ya Madrid iliyopewa jina la ‘Galacticos’ kutokana na uwezo wake wa kuteka vipaji vya kiwango cha dunia kutoka popote. Kuwasili kwa Mfaransa huyo huenda kutaipa Chelsea nguvu kubwa katika soko la usajili, huku wachezaji bora wa ulimwengu wakishawishiwa zaidi kuhamia Stamford Bridge.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kuondoka kwa Graham mabosi wa Chelsea waliamua kumuajiri kwa muda mchezaji wao wa zamani Frank Lampard, ambaye alipatiwa miezi 6 ya kumamalizia msimu na timu kabla hajapatikana kocha mpya.

Hata hivyo kumekuwa na majina makubwa ya makocha wanaohusishwa na Cheslea miongoni mwa majina hayo ni Zidane ambaye ubora wake unajulikana na kila mtu. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.