KLABU ya Azam imeingia mkataba wa miaka mitatu na kiungo Feisal Salum (Fei Toto) akitokea Yanga. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Azam FC wamemtambulisha Feisal mchana wa leo kuwa ni mali yao na wakishindwa kuweka wazi kuwa wametumia kiasi gani. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkarim Amin Popati alisema, walifikia makubaliano mazuri kwa pande zote mbili kwenye kufikia dili hilo. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Feisal mwenyewe alisema: “Nina furaha kuwepo hapa, ninawaahidi kufanya makubwa mashabiki wote wa Azam Fc.”


