BAADA ya kusambaa taarifa kuwa wachezaji wa Yanga Princess wamegoma kuondoka makwao wakishinikiza kulipwa stahiki zao, kiungo Mnigeria Mary Saiki Atinuke ameibuka na kufungukia ishu hiyo. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Saiki alisema, siyo kweli kama wachezaji wa timu hiyo akiwemo yeye wamegoma kuondoka na wanaidai klabu hiyo, isipokuwa kuna utaratibu wa safari walikuwa wanasubiri ikiwemo kutaka kutoa sapoti kwa Yanga wanaume. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Saiki aliongeza kuwa hata kuhusu stahiki zake tangu atue kwenye klabu hiyo hajawahi kunyimwa stahiki zake kama ambavyo watu wanavyodai. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
“Namshukuru mwenyezi Mungu kwa msimu wenye mafanikio. Nimefurahi sana kuwa mchezaji wa Yanga princess, tangu nije Tanzania uongozi wa klabu umekuwa ukinitunza na kunilipa mshahara ipasavyo.
“Nawashukuru wasimamizi na mashabiki kwa sapoti yote katika msimu tunaotarajia kuwa bora zaidi msimu ujao.
“Nipo hapa Tanzania kwa sababu naamini timu ya wanaume itashinda CAF ili tusherehekee mafanikio hayo pamoja kama familia kubwa. Sisi ni Yanga.” Alisema.
Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.