Liverpool na Newcastle ni Kivumbi leo

Klabu ya Liverpool na Newcastle watashuka dimbani leo kumenyana katika mchezo mkali wa ligi kuu ya Uingereza utakaopigwa  katika dimba la St.James Park.

Mchezo huo unatarajiwa kua mkali kwani timu zote zinaonekana zipo kwenye nafasi nzuri ya kushinda, Kwani vilabu vyote vimefanya usajili mzuri na vina wachezaji wazuri na kufanya kua moja ya mchezo mzuri wa kutazamwa sana leo.liverpoolKlabu ya Liverpool leo watakua ugenini katika mchezo dhidi ya Newcastle ambao nao wanahitaji matokeo ya ushindi baada ya kupoteza mchezo uliomalizika dhidi ya Manchester City wikiendi iliyomalizika.

Mchezo wa leo ni mgumu kwelikwlei kwani vilabu vyote vinahitaji kupata matokeo ya ushindi ili kujiweka katika mazingira mazuri, Huku majogoo wao wakijitahidi kuendelea kulinda rekodi ya kutokufungwa katika michezo yake miwili yake ya awali.liverpoolNewcastle wao watakua wanahitaji alama tatu angalau kuondoka katika jinamizi la kupoteza mchezo uliomalizika, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali sana ambapo mpaka wakati huu rekodi zinawabeba Liverpool kwkaua ni muda mrefu hawajapoteza dhidi ya Newcastle.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.