Manchester United Yatoa Taarifa Kuhusu Antony

Klabu ya Manchester United imetoa taarifa kuhusu mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil Antony ambaye anatuhumiwa na unyanyasaji wa kijinsia kwa mpenzi wake.

Manchester United imeleeza inatambua tuhuma hizo na ikieleza pia inapisha uchunguzi wa polisi kwa kipindi na haitatoa maoni zaidi kipindi hichi ambacho polisi wanafanya uchunguzi.manchester unitedAntony anatuhumiwa kumfanyia fujo mpenzi wake ambaye ni mama mtoto wake, Huku vyombo vinavyohusika vikiwa vinafanya kazi yake mpaka wakati huu jambo ambalo linaiweka Man United kwenye wakati mgumu.

Klabu ya Man United wamesema kua suala hilo wanalichukulia kwa uzito mkubwa kwa kuzingatia athari za madai hayo na kusema ripoti itakayofuata itakua kwa waathiriwa.manchester unitedHii ni mara ya pili ndani ya miaka miwili wachezaji wa Manchester United wanakumbwa na tuhuma za namna hii, Kwani mwaka 2021 mchezaji Mason Greenwood alikumbwa na tuhuma ya namna hii na sasa imehamia kwa mchezaji Antony.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.