Potter Kuibukia Leicester City
Makala iliyopita
Dauda Amchana MO Dewji, Hatakiwa Kuongeza
Makala ijayo
Musiala: Nataka Tuwe Washindani
Kocha huyo wa kimataifa wa Uingereza amekaa msimu mzima bila kua na timu ambapo klabu ya Leicester City inaonekana inapmbana kumrejesha kazini kocha huyo wa zamani wa Brighton and Hove Albion, Kocha huyo ni kweli hakua na wakati mzuri ndani ya klabu ya Chelsea lakini wengi wanatambua uwezo wake akiwa ndani ya klabu ya Brighton.
Mpaka sasa mazungumzo yanaendelea baina ya kocha Graham Potter na klabu ya Leicester City wakati huohuo klabu hiyo pia inafanya mazungumzo na makocha wengine, Lakini Leicester City wanampa nafasi kubwa kocha huyo wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Brighton Hove and Albion.