Real Madrid na Man United Vitani kwa Kinda wa Kifaransa
Makala iliyopita
Southgate Hali Tete Uingereza
Makala ijayo
Cucurella: Tunafurahia Uteuzi wa Maresca
Beki huyo raia wa kimataifa wa Ufaransa amekua na msimu bora sana ndani ya kikosi cha Lille na kua moja ya wachezaji bora ndani ya kikosi hicho licha ya umri wake kua mdogo, Jmabo ambalo limefanya vilabu hivo kuvutana mashati kwajili ya saini yake.
Licha ya kua na ushindani mkubwa katika dili hili baina ya Real Madrid dhidi ya Man United kumuwania beki Leny Yoro, Vyanzo vya ndani kutoka nchini Ufaransa vinaeleza kua mabingwa wa ulaya wako kwenye nafasi nzuri ya kushinda vitaa hii kutokana na mchezaji mwenyewe kuipendelea klabu hiyo.