Southgate Aachia Ngazi Uingereza
Makala iliyopita
Inter Wanajiandaa kwa Mazungumzo ya Mkataba Mpya na Dumfries
Makala ijayo
Ten Hag Akiri Kumaliza Tofauti na Sancho
Kocha huyo ameachana na timu hiyo baada ya kuiongoza kwenye michuano mikubwa minne ambayo ni kombe la dunia 2018 ambapo walicheza nafasi ya mshindi wa tatu, 2021 kwenye michuano ya Euro wakipoteza fainali, 2022 kombe la dunia wakitolewa hatua ya robo fainali, huku michuano yake ya mwisho ni Euro 2024 ambapo wamepoteza fainali mbele ya timu ya taifa ya Hispania siku ya jumapili.
Ikumbukwe kabla ya michuano ya Euro mwaka 2024 kocha Southgate aliweka wazi ataachana na kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza, Lakini taarifa zilizoshtua ni FA kutaka kumuongezea mkataba ili mpaka sasa ni wazi chama hicho soka kimeshindwa kumshawishi kocha huyo kubakia kwenye timu hiyo kutokana na maamuzi aliyoyafanya mapema leo.