YANGA KUIFUATA GOR MAHIA KENYA

Klabu ya Gor Mahia imeialika klabu ya Yanga kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa mwishoni mwa mwezi huu.

Mechi hiyo ni mahususi kwa ufunguzi wa uwanja mpya wa Siaya County uliopo nchini Kenya.

Yanga imekubali mualiko huo wa Gor Mahia na imeshaipa taarifa Gor Mahia kuwa watacheza mchezo huo.

Mchezo ambao pia utatumika kuangalia wamefikia wapi kwenye maandalizi yao ya kuelekea msimu mpya.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.