Crystal Palace Inaendelea Kujiimarisha
Makala iliyopita
Gallagher Kutimkia Atletico Madrid
Makala ijayo
As Roma nao Waivunja Girona
Winga Ismael Sarr mpaka sasa inataarifiwa amemaliza vipimo vya afya ndani ya klabu hiyo na ni wazi klabu hiyo kutoka jiji la London wameshakamilisha usajili wa winga huyo kuelekea msimu ujao ambapo wanataka kuhakikisha wanaendelea pale walipoishia msimu uliomalizika.