
Kauli ya kwa Mkapa hatoki mtu ilidhihirika kwenye mchezo huu kwani mpaka dakika 90 za kawaida zilipomalizika ubao ulikua unasomeka 1-1, Lakini hali ilikua tofauti ambapo kwenye dakika ya 99 kwenye zile za nyongeza Kibu Denis aliipatia Simba bao la pili na kufanya waondoke na alama zote tatu na kufikisha alama sita kwenye kundi lao wakiendelea kushika nafasi ya pili.