Dyabala Bado Anaendelea Kupambania Afya Yake

Paulo Dyabala atalazimika kuendelea kusalia karantini, hata ikiwa mazoezi yataanza karibuni. Staa huyu bado anaendelea kupambana na virusi vya corona ambavyo alithibitishaa kuwa navyo.

Baada ya wachezaji wenzake wawili hivi karibuni kupimwa na kupimwa na kukutwa bila maambukizi, Juventus walitangaza mshambuliaji huyu Muargentina alipatikana na maambukizi katika vipimo vilivyofanyika Tarehe 21 Machi.

Kwa mujibu wa ripoti ya Sysport, nyota huyu ameendelea kukaa Karantini nyumbani kwake. Dybala bado hajaweza kupona kabisa virusi vya corona toka aliporipoti kuwa yeye na mpenzi wake walikuwa wameambukizwa virusi hivyo.

Juventus ilikuwa ni klabu ya kwanza wa wachezaji wake kujitokeza kutangaza kuwa wamepata maambukizi ya virusi vya Corona. Dyabala alikuwa mchezaji wa pili, baada ya Daniel Rugani kuthibitika amepata maambukizi.  Blaise Matuidi pia alipatikiana na maambukizi, lakini yeye na Rugani wameshapona kwa sasa.

Hata hivyo, nyota huyu anaendelea vizuri na anaonekana kuwa na afya isipokuwa hajaweza kurejea hali ya kutokuwa na virusi kabisa.

Ratiba rasmi ya kurejea kwa Ligi ya Serie A bado haijapatiwa majibu wakati serikali ikiwa inatarajiwa kutoa muongozo zaidi siku za hivi karibuni. Kuna matumaini kuwa Ligi inaweza kuendelea mapema mwezi mei.

25 Komentara

    Poa tu

    Jibu

    Asante Meridianbet kwa taarifa hizi muhimu

    Jibu

    Mungu atamsaidia atapona na kuendelea na mazoezi

    Jibu

    Habari zakusikitisha hizi

    Jibu

    Ni jambo la kheri endapo kama anaendelea vizuri maana ligi ikirejea Juve itamhitaji sana

    Jibu

    Ahsante meridianbet kwa kutujuza

    Jibu

    Mungu asaidie awe imara tunahitaji ligi iendelee

    Jibu

    Ohoool so sad Corona🦠virus big problem

    Jibu

    Get well soon Dybala!! keep fighting>>>

    Jibu

    Mungu amsaidie awe na afya njema

    Jibu

    Mungu amfanyie wepesi mana bado nikiungo muhimu katika timu

    Jibu

    Mungu atamsaidia atakuwa pouwa soon mpaka ratiba rasmi ya Ligi ya Serie A ikifikia kurejea serikali ikitoa muongozo mambo yote yatakuwa sawa tuwe na matumaini mpaka mwezi mei ligi ikiendelea mambo yatakuwa fresh jamaa anaweza kuwa fresh🙏🏽

    Jibu

    Dybala10 soon atakuwa sawa

    Jibu

    Bad news kwa kiungo huyo club ila jambo la msingi kuomba apone

    Jibu

    Mungu amsaidie kwa kweliii

    Jibu

    Mwenyezi mungu amfanyie wepesi arudi kwenye afya yakel

    Jibu

    Corona daah imemuharibia sn

    Jibu

    Mungu amsaidie apone bado tunamhitaji kiungo wetu..

    Jibu

    mungu amsaidie apone

    Jibu

    Mungu amsaidie apone

    Jibu

    Pole Sana jembe mungu akusaidie

    Jibu

    Pole Sana jembe mungu!

    Jibu

    Inshallah mwenyezi mungu awafanyie wepesi inshallah

    Jibu

    Corona mungu amsaidie apone arudi tena ulingoni

    Jibu

    Paul dyabala afya ni bora Mungu atakujaalia tyuu hutapona na mashabiki wako tunakusubiri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.