Mkurugenzi Mkuu wa Ajax, Edwin van der Sar amethibitisha kiungo Donny van de Beek ataruhusiwa kuondoka klabuni dirisha la usajili lijalo kwa ofa nzuri.
Tottenham, Manchester United, Barcelona na Real Madrid wamehusishwa kuwania saini yake, mchezaji aliyecheza nafasi muhimu na kuifikisha nusu fainali wa Ligi ya Mabingwa 2019.
Ajax tayari wamefikia makubaliano ya kumuuza Hakim Ziyech kwa Chelsea kwa dau la pauni milioni 33.3 na Van der Sar nakuongezea kuwa hana presha ya kumuuza kwa bei ya chini, pamoja na madhara ya Corona.
“Mwaka jana, tulifanya makubaliano ya mdomo na [Andre] Onana, [Nicolas] Tagliafico na Van de Beek kubaki kwa msimu mwingine na kisha tutaangalia namna ya kusaidiana na kuangalia hatua nyingine katika kazi yao. Hakuna kilichobadilika,” alisema Van der Sar.
“Hawatakuwa na punguzo kwa 50%. Vilabu visahau hilo.”

Ajax wametengeneza zaidi ya £140m kipindi cha kiangazi kilichopita baada ya kuwauza Frenkie de Jong kwenda Barcelona na Matthijs de Ligt kwenda Juventus.
“Januari mwaka jana watu walisema tutapoteza wachezaji saba au nane lakini tumepoteza nyota wetu muhimu wawili tu,” Van der Sar aliongeza.
“Vilabu vikubwa kama Bayern Munich wamesema hawatatumia pesa nyingi kwenye usajili katika dirisha la usajili lijalo. Lakini ni rahisi kwao kwasababu wao ni wanunuzi”
“Ni kweli, usajili wa 150m-200m euros haitakuwepo. Lakini nafikiri kuna thamani kubwa ya wachezaji kutoka Ajax.


winfrida
safi sana
Nasra
Nice
David Pere
Ni bora kuangalia malisho mengine
aisha
nice
Salma
Akili nyingi
Neema juma
Sawaa kabisa
Tahiya
Vizur
Rehema Dickson
Bora aondoke akaongeze ujuzi kwingine
Lombo
meridianbet mpo juu
Povel
Mpo vzr
Asha mvugalo
Vizuri sana
Elika
Kama huko anakotaka kusepea kuna maslahi mazuri,na aende tuu kambi popote
Sadick
Asante #meridan#meridianbettz kwa makala nzuri.
Theckla
Abadilishe mazingira tu
Frank Patrick
Dogo akatafute changamoto nyngine tu
Ester mmakasa
Sio mbaya kwake kuhama kama anaenda clabu nyingine na yenye manufaa kwake .
Hopemwaikux
Inapendeza
Kenani
Muda umefika wakusonga mbele wacha aende
Tat
Kwa nn anaondoka
felister
kikubwa maslai km yanalipa aende
Furahav
Fundi mmoja.
Emnmy cleopa
Nice
Njiku
Safii kwa majarida tamu meridian sikujua kama atasepa van de beek namkubali sanaa
Antony Luseno
Kwa ushaur Spurs inamfaa
Warda
Van der mkali sana jamani
Mariam
Safi sanaa
mwakalosi
atulize akili ili afanye uchaguzi sahhi maana anaweza kwenda kupoteza kiwango asipokuwa makini
Adelta
Ni Bora atafute changamoto nyingine
khadija
nice
Isaya massawe
Wanaangalia penye mpunga mwingi
Geniaskaluzwe8
Good
Ester jackson
Aondoke bado nikijana na anaumwezo wa kupambana vilivyo
Evaluziga
Nibora atafute changamoto nyingine
Juliana
Iko vema
David pere
Kama anajua acha akatafute bahati sehemu nyingine
Aziza mushi
Vizuri
Asha mvugalo
Vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri
farida ahmadi
Maamuzi yake binafsi