Bayern Bado Mbili tu

Bayern Munich anahitaji ushindi kwenye mechi mbili kati ya nne zilizosalia kuwa mabingwa kwa mara ya nane mfululizo baada ya jana kuichapa Bayer Leverkusen.

Hansi Flick amepoteza mechi moja kati ya 21 kwenye michuano yote.

Hansi Flick

Kingsley Coman, Leon Goretzka na Serge Gnabry wote walifunga alifunga baada ya Lucas Alario kufungua.

Robert Lewandowski amefunga goli lake la 30 msimu huu.

Bayern wamepoteza mechi mbili tu kwenye mechi 26 tangu Flick kuchukua mikoba ya Niko Kovac Novemba.

53 Komentara

    Bayern Munich Naona wanakosa wapinzani taratibu

    Jibu

    Safari hii Munich watashinda tuuu

    Jibu

    Sijajua kwa kweli ngoja tuone maan ngoma tete

    Jibu

    Jamani wasikate tamaa mambo yatakaa sawa

    Jibu

    Mambo yanaweza kuwa magumu kwa upande wao

    Jibu

    Kweli mambo yanabadilika aise duu

    Jibu

    Safari hii wanaweza wakashinda wasikate tamaa

    Jibu

    Hii Bayern ni hatari sana.

    Jibu

    Sidhani kama lipo la kumfanya baryen asichukue ubingwa na msimu huu

    Jibu

    Kazi nzuri Hansi Flick kwa kazi nzuri. Ubingwa unakuwa na msisimko unapombaniwa mpaka siku ya mwisho#meridianbettz

    Jibu

    Bayern nihatari sanaa

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Bayern wanatakiwa wajitahidi ili wapite hapo waliko.

    Jibu

    Wakaze tu

    Jibu

    Wajitahidi wachukue ubingwa tu

    Jibu

    Wanaweza kushinda Bayern asikate tamaa

    Jibu

    Bayern tayar bingwa hamna wa kumzuia kwenye bundesliga

    Jibu

    Bayern wako vizuri sana

    Jibu

    Sijajua kwa maana hapa pagum

    Jibu

    Wasikate tamaa

    Jibu

    Bayern Munich hawakukaa kizembe nyumbani kwani wamekuja kwa kasi sana watapata tu ushindi

    Jibu

    bayern wako vzuri

    Jibu

    bayern km bayern izo mechi zilizobakia lazima atoboe

    Jibu

    Bayenr ndi mamwamba na mabingwa wa sasa Ujerumani #meridianbettz

    Jibu

    Bayenr munch wapo vzr#meridianbettz

    Jibu

    Bayern wanatunisha misuli kwa vibonde wao

    Jibu

    Naona Bayern wanatunisha misuli kwa vibonde wao

    Jibu

    bayern mwamba wa ujerumani

    Jibu

    hili ndio tatizo la bundesliga, maana bayern wanaonekana kutawala ligi na hakuna anayepinga na kumpiku;

    Jibu

    Wapeni tu ubingwa waoo…Kila siku bingwa yule yule

    Jibu

    Hapo alipofikia bayern hana mpinzani

    Jibu

    Vizuri.

    Jibu

    Bayern wako vizur

    Jibu

    Wanaweza kushinda Bayern wasikate tamaa

    Jibu

    Bayern tari bingwa akuna atae mzuiya kwenye Bundesliga

    Jibu

    bayern hana mpinzan bhn kuanzia ligi ya kwao hadi klabu bingwa nahisi lazima atachukua yey tu kwa msimu huu

    Jibu

    Ni ligi ya timu moja hana mpinzani

    Jibu

    Mpira unamajabu mengi mbili wanzosema no nyingi hzo

    Jibu

    Bayern wakazee ili wachukue ubingwa

    Jibu

    Wajitahidi wakaze buti

    Jibu

    League inakosa mpinzani wa kudumu mara 8 anachukua yeye tu

    Jibu

    Ni zamu ya mwenzie sasa kashachukua vya kutosha sasa awaachie na wengine

    Jibu

    hawa mabingwa tu

    Jibu

    Wapewe tu ilo kombe lotelote #Meridianbettz

    Jibu

    Kweli bundasiliga aio ligi Bora ,Ndio maana kila mwaka Bayern wanakuwa mabingwa tu hii ni hatari sana

    Jibu

    Ubingwa upo mikononi mwao Bayern maana awanaga masihara

    Jibu

    Bayern kazeni buti kombe ni lenu

    Jibu

    Wanashinda Bayern.nawaaminia

    Jibu

    Bayern Munich wamekosa washndan kabisa ujerumani

    Jibu

    Bayern wanatishaa

    Jibu

    Ushindi lazima

    Jibu

    Bayern Munich Naona wanakosa wapinzani taratibu kombe lake akuna wakufanya maajabu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.