Usajili wa Timo Werner kwenda Chelsea unaweza kukamilika wiki ijayo, inasemeka umechelewa kwasababu ya namna ya kufanya vipimo vya afya kwasababu ya zuio la kuingia nchi mbalimbali.
Straika huyo wa Ujerumani dau lake la £53million linaishia Jumatatu na usajili wake utakuwa nyongeza kubwa kwenye kikosi cha Frank Lampard.

The Blues tayari wamemsajili Hakim Ziyech, kwa dau la £37million mwezi Februari kuelekea msimu ujao, wakati wakiendelea kuwinda wengine sokoni kwasasa wanamuwinda nyota wa Leicester City na Uingereza beki wa kushoto, Ben Chilwell.

Chelsea wamekusanaya kiasi kikubwa cha pesa baada ya kuuza wachezaji wake kwenye madirisha yaliyopita ikiwemo Eden Hazard kwenda Real Madrid na Alvaro Morata kwenda Atletico Madrid.


Gabriel
N habar njema maana afya ndo kila kitu hupaswi kufanya haraka katika kusajili bila kuzingatia vipimi cha msingi kulikuwa na subira now soon inakuja heri
Neema hassan
Asante kwa habari za burudani na michezo..
Rehema
Bonge la makala Asante sn meridianbet tunasubili muogoz
Elika
Safi sana
Ester jackson
Habari nzuri sana kwa mashabiki wa Chelsea inaonekana itakuwa moto sasa sio kwa usajili huu
Lydia Emmanuel Magoti
Corona atarii sana Mambo ya merudi nyumba kwakira sekta
Furahav
Majanga
Samiah
Safi sanaaa
Sadick
Huku Ziyech, pale Timo lazima watu wazima wakae sisi tunapita mwendo speed 120 #meridianbettz
Mwajuma
Mmm hii corona imejua kutunyosha
Agness
Corona umeleta maajabu
Leonard
Vizur kujua afya kwanza
Adelta
Safi sana
mwakalosi
hili deal si lilikuwa confirmed done
David Pere
Wamalize dili Hilo Mambo uaende sawa
Shafii
Corona nomaa
Aziza mushi
Hili janga nalo dah
Isaya massawe
Corona imezua mengi sana na pia limesababisha mambo mengi kurudi nyuma
Evaluziga
Makara zenu nzuri tunaisubili muongozo
Mwanaidi
Corona sio poa kabisaa
Hamidu
Habari njema. Next msimu naona kabisa Chelsea itasumbua #meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Corona noma sana
felister
corona inakwamisha mipango ya watu
Devotha
Corona ni balàa
lombo
mambo yatakaa sawa tu kila jambo lina mwisho wake
Dorophina
Ni vizuri kiafya maana hali yenyewe sasaiv ni mbaya corona imeharibu
Rehema
Corona noma
Mwanahamisi
Colona ni hatari
warda
Wanajitahidi kufanya usajili #Meridianbettz
Johnmary joel
Huu ugonjwa ni shidaa#meridianbetz
Emmy cleopa
Huu ugonjwa wa corona ni hatar sana Ila nivizur kujua afya zetu
Caroline
Sawa yote yatapita tu
Mariam mtandama
Safi
isha
corona inatunyima uhondo duuh pole sana timo
Theckla
Afya Kwanza mengine yatafuata
Rehema Dickson
Corona imekwamisha vitu vingi sana na pia limesababisha mambo mengi kurudi nyuma
Amani
Huku Ziyech, pale Timo nouma Sana #meridianbettz
Hope mwaikuka
Corona sio poa
Povel
Kilio cha dunia nzima hko thnks meridian bet tz kwa update
Ernest
Timo aendeleze kwanza makali yake kwanza Ujerumani
Frank Patrick
Tunachohitaji ni muendelezo wa anachokifanya sasa
Theonestina
Corona Sio poa
Latifa juma mohamed
Habari njema ,next time Chelsea itakuwa poah
Salma
Janga la dunia
Zeiyana
Chelsea bado kabisa wanakiwa wapange mashambulizi sio kukusanya ela tu usajiri wa maana ufanyike wameshuka viwango sana
Magdalena
Kujali afya ni Jambo muhimu sana
Julieth
Ndo imeisha ivyo wampe madili tyu