Dani Olmo alifunga mara mbili kipindi cha kwanza kuifanya RB Leipzig kusogea nafasi ya pili wakiwa na pointi moja mbele Borussia Dortmund baada ya ushindi dhidi ya Hoffenheim.
Kiungo wa Hispania Olmo aliwatoka mabeki wawili kabla ya kukamilisha ushindi kwa shuti kali.

Kikosi cha Leipzig kilimjumuhisha mshambuliaji wa Ujerumani, Timo Werner, ambaye anatarajia kujiunga Chelsea baada ya klabu kufikia makubaliano.
Hoffenheim walipewa penati wakati ikiwa 0-0 lakini ilifutwa baada ya VAR kuonyesha sio halali.
Werner ambaye ana magoli 25 msimu huu alikosa nafasi ya kuongeza idadi ya magoli baada ya kupiga shuti lakini kipa alipangua mpira huo.



warda
Huyu Dani anakuja kwa speed sana #Meridianbettz
Caroline
Dani mtu mbad..
Sadick
Utamu wa Ligi huwa pale hajulikani nani atachukua Ubingwa. Leipzig wanaonyesha ushindani#meridianbettz
Mariam mtandama
Safi
Emmy cleopa
Habar njema
Dorophina
Dani yupo vzr sikuiz
Genia Sikaluzwe
Dani anajituma Sana kwenye mpira
Khadija
Huyo dani sio mtu mzuli##meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Dani yupo vizuri anakuja spidi Kari apambane afike mbali apingwi
Samiah
Dani mtu mbaya sanaa
Theckla
Havumi lakini yumo
felister
good news
Mariam mtandama
Habari mjema
Elika
Kijana dani hongera kwakeee
isha
dani olmo yuko vizuri sana
Adelta
Kijana Dani hongera
Unatisha
Evaluziga
Huyu Dan anakuja spid sana
Rehema
Dani unatisha sana
Hamidu
Fundi Dani katika ubora wake..tutegemee na Leo atafanya vizuri#meridianbettz
Rehema Dickson
Dan baba lao safi sana dogo pambana utafika mbali zaidi ya mbali kwenyewe
Furahav
Anatisha sana huyu jamaa.
Neema hassan
Dani fundiii
Ester jackson
Safi sana dogo ila kaza buti mana mda mengine wananunuaga magoli angalia kwa makini
Mwanahamisi
Dani mtu mbaya
Johnmary joel
Anautabili mzuri#meridianbet
Gabriel
Mechi ilikuwa nzur sana
Hope mwaikuka
Mtu mbad
Amani
Dani anakuja kwa speed sana #Meridianbettz
Povel
Rb majesh kwl
Njiku
VAR IPO sawa kwa wote
Ernest
Acha Werner amkimbize kimbize Lewandowski
Zeiyana
Chelsea wangemchukua huyu dogo yupo vizuri sana
Theonestina
Dani Yuko vizur Sana uwanjani
Frank Patrick
Timo kaniangusha jana
Sylvester
Leipzig wapo vizuri Borrusia wajiangalie wanaweza jikuta nafasi ya tatu
Hidaya
Wampe nafasi Dan huenda akaleta maajabu
David Pere
Jamaa wanatisha sanaa
Mwanaidi
Dani yupo vizuri akipata nafasi anajua kuitumia kisawasawa
Isaya massawe
Anajitahidi sana jamaa atafika mbali
JULIANA
Anatisha
Shafii
Safi Sana lazima uoneshe mashabiki kua unastahili kuchezea clubuni hapo
lombo
gud News asante
Magdalena
Anachokifanya ni kizuri kwa Speed anayokuja nayo
Agness
Jamaa vizuri
Samira
Jamaa yupo vizuri