Liverpool Wajichelewesha Ubingwa!

Sare ya bila kufungana kati ya Liverpool na wenyeji Everton imewafanya Liverpool kuongeza alama moja hivyo kuwa na alama 23 mbele ya Manchester City wanaoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo.

Kama vijana hao wa kocha Jurgen Klopp wangeshinda mechi hiyo, na kisha kushinda mechi ijayo dhidi ya Crystal Palace siku ya Jumatano, wangejihakikishia kubeba kombe la EPL ambalo hawajalibeba kwa miaka karibia 30 sasa!

Matokeo hayo yanamaanisha kuwa watatakiwa kusubiri washinde mechi yao ya Jumatano, huku wakimuombea mabaya Manchester City apoteze dhidi ya Burnley jumatatu ijayo.

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp anaamini kuwa Everton walicheza vizuri zaidi yao na walistahili kushinda, hivyo matokeoa hayo ya sare ni bora zaidi kwake. Licha ya Liverpool kuwa na umiliki wa mpira wa zaidi ya asilimia 70, walifanikiwa kupiga mashuti matatu tu yaliyolenga lango!

Everton walionesha uhai mara zote waliposhika mpira kwa kupeleka kizaa zaa katika lango la Liverpool. Kama isingekuwa kwa mlinda mlango Alisson Becker, Liverpool wangepoteza mechi hiyo na hivyo kuwa mechi ya pili kupoteza tangu kuanza kwa msimu huu wa ligi.

“Sote tumeona nafasi alizookoa Alisson. Hakika alikuwa katika kiwango kizuri, ilikuwa mechi ngumu kwake. Mara nyingi mpira ulimkuta miguuni kuliko katika mikono yake” Alisema Klopp, “Hivi ndivyo golikipa bora anapaswa kuwa. Ametusaidia kupata alama moja muhimu”.

 

61 Komentara

    Still kombe ni lao tu msimu huu hana mpinzani

    Jibu

    Liverpool msimu bingwa! Ila subirini mpaka mwisho mwenye point zao wazichukue#.meridianbettz

    Jibu

    Siku zote wahenga tunasema haya ni maneno ya mkosaji akikosa lazima ajifanye akutaka miaka 30 before ata mm sijazaliwa mpka napata akili hawajawai kuchukua kombe la EPL kiukwel Liverpool hawajawai kutoka salama akiwa Everton nyumban ukiangalia misimu mingi Everton wakiwakazia sana Liverpool na wasije kujiamin maana hata crystal palace sio watu wazur matokeo yanaweza kubadilika ndan ya mechi 9 zilizobaki
    # meridianBetTZ

    Jibu

    huu ubingwa ni wao tu

    Jibu

    Liverpool tena kombe ni lakwao hapati mtu mwingine

    Jibu

    Liverpool wakipoteza ubingwa msimu huu
    Itakua ni miujiza na historia isiofutika kwenye soka la epl

    Jibu

    Huu ubingwa ni wa liverpool tu

    Jibu

    Liverpool hana mpinzani kombe ni lao ht iweje

    Jibu

    Liverpool inazidii kutupa raha sana

    Jibu

    Liverpool bingwa 2019/2020

    Jibu

    Tunasubili tuone km liver watachukua.

    Jibu

    Hakuna mechi rahisi wanakutana Liverpool na Everton. Hamu yangu kuona Liverpool wanachukua ubingwa#meridianbettz

    Jibu

    Jana Liver walikuwa wanapotea Alisson alifanya kazi kubwa sana.

    Jibu

    Ila bingw wao watachelew t

    Jibu

    Hakuna cha kujichelewesha hapo hao jana walizidiwa maarifa yule mtoto wa kibrazil alimwambia van dijk ila jana everton walistahili kushinda mechi ile walipoteza sana nafasi

    Jibu

    Klopp kama hatochukua hili kombe itakuwa uzembe wa hali ya juu licha ya kutoa sare na everton bado wananafasi nzuri ya kuwa mabinhwa wa EPL ila mechi inayokuja sio poa aise crystol palece pia wapo poa sanaa kucheza na mechi kubwa liverpool wafanye kazi sana kupata arama tatj dhid ya crystol palace

    Jibu

    Maoni:Liverpool wanajiamini watachukua ubingwa

    Jibu

    Ubingwa ni wao watachelewa ila watafika

    Jibu

    Hongera kwao Everton jana walicheza vizuri sana

    Jibu

    Huu ubingwa ni wao tu.

    Jibu

    Liverpool na Evaton wanajuana wote wanatoka mtaa mmoja, Na huwa kupata ushindi pale inategemea Evaton wameamkaje

    Jibu

    Ulikuwa ni mpira mzur sana kuaangalia ila siyo mbaya sana kwa Liverpool nadhani wanategea mechi yao na man city ndio watagaze ubingwa kibabe

    Jibu

    Wapambane wachukue ubingwa

    Jibu

    Jana liver walikua wamepotea alisoon walifanya kazi kubwa

    Jibu

    Wanataka wenyewe shaur yao

    Jibu

    Mungu isaidie Liverpool ishinde tuu maana naipenda mno.

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Nice #meridianbet

    Jibu

    bado bingwa hajajulikana ngoja tuone

    Jibu

    Nice speech boss Jurgen

    Jibu

    Hakika liver wanajianin

    Jibu

    Lazima wachukue liverpool ubingwa

    Jibu

    Liverpool niwatu wakujiamini sanaaa

    Jibu

    Kweli kabisah Liverpool wanajiachia Sana wasipende mteremko inabidi wakaze buti ili wachukue ubingwa wao kabisah wasifanye masihara kabisah wanabidi wakaze buti ili watwae ubingwa

    Jibu

    Duuu ubigwa sio lelemama ila liver wanauhakika wa kuchukua#Meridianbettz

    Jibu

    Wanajiamin kombe ni lao

    Jibu

    Liverpool nao washaanza kuyumba

    Jibu

    Liverpool kombe nilaho Hilo wanajiamini asilimia yote apingwi hiyo

    Jibu

    Wazidi kuongeza bidii liverpool#meridianbett

    Jibu

    Ubigwa ni waniwakwao hata iweje

    Jibu

    Liver atachukua ubingwa

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Mfa maji haachi kutapatapa hayo maneno tu kiukweli Liverpool hawajawai kutoka salama wakiwa na Everton

    Jibu

    Liverpool inatisha asikwambie mtu

    Jibu

    Watachelewa tu lakini ubingwa wao

    Jibu

    Kama isingekuwa kwa mlinda mlango Alisson Becker, Liverpool wangepoteza mechi hiyo na hivyo kuwa mechi ya pili kupoteza tangu kuanza kwa msimu huu wa ligi hakika Everton walijituma sana

    Jibu

    Wasikate tamaa, wanaweza kuchukua ubingwa

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Ubingwa ni wao Liverpool

    Jibu

    Hamu yangu kuona Liverpool wanachukua ubingwa#meridianbettz

    Jibu

    Nasibir kuona Nani haswa atachukua kombe

    Jibu

    Liverpool IPO vizirii sana

    Jibu

    Liverpool IPO vizuri

    Jibu

    Liverpool kiboko yao

    Jibu

    Hata iweje Liverpool ubingwa wao

    Jibu

    Maoni:ubingwa ni wao liverpool bado kutangazwa

    Jibu

    Kombe lao tu msimu huu hawana mshindani#meridianbettz

    Jibu

    Bado wao ni washindi

    Jibu

    Liverpool wapo vizur

    Jibu

    Liverpool wanastahili ushindi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.