Mike Tyson Akiri Angechapwa na Muhammad Ali

Mike Tyson amebainisha kuwa pambano dhidi yake na Muhammad Ali lingekuwa kibarua kikubwa kwake. Angelazimika kupambana kwa raundi 15, kama sio kuchapwa kwa sababu asingeweza kumpiga KO legendari huyu.

Mabingwa hawa wote wanachukuliwa kuwa mabondia bora wa wakati wote, huku mashabiki wengi wakitamni wangekuwa wamekutana ulingoni.

Muhammad Ali pia, aliwahi kunukuliwa akimueleza George Foreman kuwa anadhani angepigwa kama wakipambana na Mike Tyson. Lakini sasa ‘Iron Mike’ ameamua kuweka wazi mtazamo wake, akiona kuwa kiuhalisia ingekuwa vita ambayo hadhani kama angeishinda.

Kutokana na uhaba wa michezo katika likizo ya Corona, ilikuwa fursa ya waandaaji wa michezo ya mtandaoni kuandaa mfano wa pambano la malegendari hawa. Katika pambano hili la mtandaoni, Tyson alishinda kwa pointi.

Akizungumza kupitia mitandao yake ya kijamii, Tyson anasema angelazimika kujiandaa kupambana raundi 15. Hakuna namna angeweza kumpiga KO (Knock Out).

Mike anasisitiza kwa kusema ili uweze kumshinda Muhammad Ali, ni lazima umuue kwanza ndiyo upate ushindi.

 

57 Komentara

    Mikel Tyson legendary wa ndonga mwenye historia yake thnks meridian kwa update za michezo

    Jibu

    kaongea ili kumpa heshima tu

    Jibu

    Kiukwel wote wanahistoria nzur japo kila mmoja anamzungumzia mwenzake kuwa angempiga ila ukwel n kwamba kila moja anaonekana kuvutiwa na mchezo na mwezake kwa upande wa Mohammed Ali na Mike Tyson ila Kama ungetokea tungefurahia mapambano
    # meridianbet

    Jibu

    Mike naona anasisitiza ili umshinde Muhammand ali ni lazima umuue ndiyo upate ushindi neno zito duu

    Jibu

    Tyson najua uwezo ano wa kumchapa anaongea tu

    Jibu

    Mda mwingine unaweza kumifia mtu kitu ambacho unajua kisingewezekana kwake kwasababu ya heshima uliyonayo kwakwe au kum motivate zaidi

    Jibu

    Sawa bora umeongea ukweli

    Jibu

    Wote walikuwa mabondia wazuri enzi zao#meridianbettz

    Jibu

    Alli ni boxer mahiri kumshinda ilibidi ujikaze sana

    Jibu

    Mike na Alli walijiwekea heshima kubwa sana kwenye ulimwengu wa ndondi, nakumbuka wakubwa wakisumulia Mike anampiga mtu wakati watu bado wanaingia uwanjani kucheki pambano!!! Dahhh sipati pichaaaaa

    Jibu

    Kila mmoja alikua Bora katika career yake ya ngumi za kulipwa uzito wa juu duniani ote nawakubali

    Jibu

    MohAmed ally alikuwa bora sana enzi zake. Tutakukumbuka daimA#meridianbettz

    Jibu

    Mabingwa hawa

    Jibu

    sizani lakini vzr wangepigana ndo tungejua mbabe nni

    Jibu

    Mike alikuwa vizuri sanaa ila sio kwa mohammed ali alokuwa yupo fiti sana ila wote wa kali kama wangekuta aisee mmoja angekufa uwanjani kati ya mike na mohamed ali

    Jibu

    Maoni:Hao wote ni mabondia wazuri ila Mike Tyson kaongea hivyo ili kumpa heshima Mohamedi Alli

    Jibu

    Yupo sahihi Mohamed Ali alikuwa sio mtu wamchezomchezo

    Jibu

    Kweli kila mmoja ana historia yake kwenye nyakat zake mikel tyson mtu mwenye rekod yake dunian na hata muhammed ali naye alikua moto wa kuotea mbali

    Jibu

    Muhammed Alli tishio

    Jibu

    So kweli pambano Lao lingekuwa gumu sanaa maana wote ni watu hatari sanaa

    Jibu

    Mike na Ally watabaki kuwa mabondia bora wakat wote

    Jibu

    Kiukweli wote walikuwa bora

    Jibu

    Wote walikua mabondia wazur enzi izo

    Jibu

    Kumbe ndo ilkua

    Jibu

    Kweli mafahari wawili hawakai zizi moja Mike Tyson alivyokuwa mbavu leo anakiri ivo duuh!

    Jibu

    Wote walikuwa Bora

    Jibu

    Mohammed ally alikuwa tishio..

    Jibu

    Mike Tyson ameonyesha ni kwa jinsi gani anamuheshimu na kumkubali rol model wake

    Jibu

    Kampa heshima tuu

    Jibu

    Alikuwa tishio huyo

    Jibu

    Mchezo wa ngumi hautabiliki ukimuotea mtu kwisha habari yake#Meridianbettz

    Jibu

    Iyo naona kaongea tu kumrizisha

    Jibu

    Mike Tyson mwanamwasumbwi aliyetengeneza historian ya pekee dunian.

    Jibu

    Ni vizuri kukili kuwa unaweza kupigwa huu mchezo ni hatari#meridianbettz

    Jibu

    Mike Tyson kaongea kampa eshima tuu

    Jibu

    Mmh kumbe iko hivyo

    Jibu

    Kila mmoja alikua alikua ana uwezo wake

    Jibu

    Mbona kajishusha

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Kiukweli wote wana history nzuri na kila mmoja anaonekana kuvutiwa na mchezo wa mwenzake tungefurahi mpambano huu kama ungetokea..!

    Jibu

    Kuongea ili kumpa heshima

    Jibu

    Wote walikuwa wa babe

    Jibu

    Angekufa mtu hapo.

    Jibu

    Alikuwa sahihi kusema hvyo

    Jibu

    Wote wako sahihi

    Jibu

    Wote walikuwa bora

    Jibu

    Mabingwa hawa wote wanachukuliwa kuwa mabondia bora wa wakati wote ila kama wangekutana ulingoni ingekuwa bora zaidi tungejua nani anauwezo zaidi mana wote wakali

    Jibu

    walikuwa mabondia wazuri enzi zao#meridianbettz

    Jibu

    Mike Tyson ameshazeeka sikuizi

    Jibu

    Mike Tyson MTU mwengine kwenye ngume kamweshimu tuuu ndomaana kaongea ivyoo

    Jibu

    Wote wababe katika upambanaji

    Jibu

    Mike Tyson na mohamedi ally wote wako vizur wanastahili kilicho bora

    Jibu

    Walikuwa mabondia wazuri enzi zao#meridianbettz

    Jibu

    Huu mchezo sijawahi kuuelewa

    Jibu

    Tyson angeua mtu😀

    Jibu

    Wote walikuwa bora

    Jibu

    Tyson ana kiwangoo

    Jibu

Acha ujumbe