Dortmund Kuwania Saini ya Jude

Borussia Dortmund wana matumaini ya kukamilisha uhamisho wa kiungo Jude Bellingham kutoka Birmingham City.

Mnamo Agosti, Bellingham alivunja rekodi ya mshambuliaji wa zamani wa England, Trevor Francis kama mchezaji mdogo zaidi kuitumikia Birmingham, wakati alipoichezea timu yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16 na siku 38.

Alifunga bao la ushindi dhidi ya Stoke kwenye mechi yake ya kwanza na hadi sasa kacheza mechi 36.

Manchester United walikuwa kati ya vilabu vilivyo onyesha nia ya kumsajili nyota huyo wa timu ya taifa ya England Under-17. Lakini Dortmund wanahisi wanaweza kutumia mfano wa jinsi Jadon Sancho amefanikiwa baada ya kuhamia Ujerumani kutoka Manchester City akiwa na umri wa miaka 17 na kumshawishi Bellingham afanye uamuzi wa kutimkia huko.

52 Komentara

    Yuko vizuri kijana.

    Jibu

    Habar njema kwake

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri sana na nikati ya wachezaji waliovunja rekodi ya ushambuliaji hapo zamani namkubali sana

    Jibu

    Maoni:Jude Bellingham yuko vizur

    Jibu

    Dortmund itafanya vizuri kumtwaa ili wawanie kuwapokonya ubingwa munich

    Jibu

    Itakua poa Kama watafanikiwa kumnyakua

    Jibu

    Vizr tuu kumchukua kinda kama huyu ukamkuza

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Ipo poa hii safi sana

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    Bonge la mshambuliaji kwa uwezo wake anaweza kuonesha maajabu makubwa sana Dortmund

    Jibu

    Ata wasaidia Sana wakimpata

    Jibu

    Jude Bellingham n bonge la mshambiliaj hivyo kwa uwezo wake anaweza akaonyesha maajabu makubwa sana 👍
    Iko poa hii
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Ataisaidia Dortmund kwa kiasi kikubwa

    Jibu

    Talent player

    Jibu

    Nivuzuri tu kumchukua mtu km huyu na kumkuza

    Jibu

    Saafi

    Jibu

    Safiii atasaidia dortmund kwa kiasi kikubwa..

    Jibu

    Nimchezaji mzuri sana#meridianbett

    Jibu

    Mchezaji mzuri sanaaa

    Jibu

    Dortmund ni sehemu sahihi ya jude atapata nafasi nyingi za kucheza ukilinganisha na vigogo epl wanaowania sain yake

    Jibu

    Dogo anAjua Sana ! Kama watamsajili atafi kwa mfumo pale Dortmund.

    Jibu

    Yuko vizuri sana

    Jibu

    Habari mzuri

    Jibu

    Vizur

    Jibu

    Mchezaji mzuri

    Jibu

    Mchango wake tunatarajia utakuwa mkubwa

    Jibu

    Jude yupo vizuri sana

    Jibu

    Ili gonjwa bado linaendelea tuwe nalo kwa makini

    Jibu

    Dogo yuko vizuri mno

    Jibu

    Hongera Jude

    Jibu

    good news

    Jibu

    Itakuwa poa sana wakimnyakuwa dogo atawasaidia sana tu

    Jibu

    Habari njema sana#meridianbettz

    Jibu

    Jude ni fundii sana

    Jibu

    Ka Jude kapo vizuri#Meridianbettz

    Jibu

    Wapambane wampate

    Jibu

    anaweza akaonyesha maajabu makubwa akiwa Dortmund
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Kwanza wamuuze Sancho Ndio maana wamchukue jude

    Jibu

    Mchezaji anaposajiriwa na timu kubwa katika umri kigezo kikubwa kinachotakiwa kuzingatiwa ni kupata nafasi ya kucheza ili kuimarisha uwezo wake maana benchi litaua kipaji chake#meridianbettz

    Jibu

    Jamaa anaweza

    Jibu

    Dortmund fanyeni bidii kumpata maana ni mchezaji mzuri atasaidia sana

    Jibu

    Anaweza mpira

    Jibu

    Kijana anafanya maajabu sana.

    Jibu

    Bado kijana anafaa kwa kaz

    Jibu

    Kila la heri Jude Bellingham

    Jibu

    Maoni:Kijana yuko vizur

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri na akifika Dortmund wajitahidi kuimarisha kipaji chake sio kumuweka bench

    Jibu

    Hapo atie mkwanja tu ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Hongera kwakwe

    Jibu

    Itakuwa poa Kama watafanyikiwa kumnyakuwa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.