Djokovic Akutwa na Corona

Mchezaji wa Tennis namba moja kwa Ubora Duniani, Novak Djokovic amekutwa na Virusi vya Corona na yeye mwenyewe amethibitisha kuwa ana COVID-19.

Djokovic ni mmoja kati ya wachezaji wanne ambao walishiriki katika mashindano ya Adria Tour kukutwa na Virusi hivyo.

Adria Tour – maonyesho ya tenisi ambayo yalifanyika huko Serbia na Croatia katika wiki mbili zilizopita, yamefanya wachezaji wanne kukutwa na Corona pamoja nguli huyo, wengine ni Grigor Dimitrov, Borna Coric na Viktor Troicki.

Mke wake, Djokovic anayeitwa Jelena, pia kakutwa na Virusi hivyo ambapo wote kwa pamoja wataenda kujitenga kwa siku 14.

27 Komentara

    Pole sana.

    Jibu

    Duh habar mbaya kwa mashabik wake na wapenda tenesi thnks meridian kwa update

    Jibu

    Pole yake. Mungu ampatie nafuu ya haraka

    Jibu

    Maoni:Daaah pole sana Novak Djokovic

    Jibu

    Ni habari mbaya corona bado ipo tusichukulie Poaw

    Jibu

    Poleni sana kwa janga hili la corona mana ni tishio baada ya kufanya tu mazoezi ili unapo rudi tu uwanjani uwe vizuri limekukuta tatinzo na watu wako wakaribu pole sana mungu atakusaidia na wezako mtapona na kurudi katika majukumu mengine

    Jibu

    Duh mung asaidie apone

    Jibu

    N habar ya kusikitisha sana kwa Djokovic kukutwa na corona kwan ata aliposhirikishwa katika mashindino
    ambayo yanayofanyika marekan
    Djokovic aligoma na kuomba
    akae ndan lock down me nahisi
    alijua kuwa alishaoatwa na tatizo ndo maana alisema hivyo
    Tunatakiwa kumuombea bingwa namba
    moja wa tenesi dunian apate
    afya njema zaid
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Ni kitu kizur ukijitambua kua una virus hvyo kujitenga na wenzio kuepusha athar zaid kwa wengine

    Jibu

    Duuuu corona noma

    Jibu

    Dah mungu amponye

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Duh corona Atari sna pole yake.

    Jibu

    so sad to djokovic family

    Jibu

    Mungu atamsadia atapona

    Jibu

    Mungu atampa wepesi atapona

    Jibu

    Alipo shitikishwa ktk mashindano Djokovic aligoma me haisi alaishajua kama hanamaambukizi

    Jibu

    Inasikitisha ila Mungu atamwekea wepesi atapona

    Jibu

    Corona janga baya atapona tu

    Jibu

    Wajitenge kwanza

    Jibu

    Miezi kadhaa iliyopita alisema hangekubali chanjo ya Covid 19. kama atapona mwili wake utatengeneza kinga dhidi ya Corona#meridianbettz

    Jibu

    Hii ni Habari mbaya sana kwa Djokovic kukutwa na Corona, Tunamtakia apone haraka

    Jibu

    Pole sana mungu atakuponya na kurejea mchezoni

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Duh pole sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.