Uingereza yatoa ruhusa kwa Chelsea kuanza upya mpango wa kuupanua uwanja wake wa Stamford Bridge.
Kwa mujibu wa taarifa inaeleza kwamba serikali ya nchini Uingereza imetoa kibali kwa Chelsea kuendelea na mipango yake ya upanuaji wa uwanja wa Stamford Bridge ambao kwasasa unaingiza mashabiki 41,000 lakini ukipanuliwa unategemea kuingiza mashabiki 60,000.
Kibali hicho kimetolewa upya kwa Chelsea mara baada ya kibali kilichotolewa mara ya kwanza kuisha mwezi March-2020 lakini kutokana na athari za ugonjwa wa Covid-19 imeifanya serikali kuongeza kibali hicho kwa mwaka mmoja mpaka mwezi Aprili-2021.
Chelsea ilipata kibali cha kufanya upanuaji wa uwanja huo mwezi March-2017 na ilitakiwa kidumu ndani ya miaka mitatu ambapo Chelsea ilitakiwa kuanza upanuaji ndani ya miaka hiyo mitatu.
Lakini kwasababu ambayo haikutajwa Chelsea iliandika wakala baadae ikitoa taarifa ya kusimamisha mipango yote ya upanuaji wa uwanja huo unaopatikana mitaa ya Fulham jijini London.

Lakini sababu iliyotajwa kufanya mipango hiyo kusimamishwa ni mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich kuishiwa na kibali chake cha kuishi nchini Uingereza.
Hivyo kibali hicho kilidumu kwa miaka mitatu mpaka mwishoni mwa mwezi March mwaka huu kilipoisha rasmi.
Lakini katikati ya mwezi March inajulikana kwamba ugonjwa wa Covid-19 uliishambulia dunia haswa nchini Uingereza na kusababisha shughuli zote kusimamishwa ikiwemo ligi kusimamishwa.
Hali hiyo imekuwa sababu kwa Chelsea na serikali imesogeza mbele muda wa kibali hicho cha kuanza upanuaji kumalizika ambapo kwasasa kimesogewa mbele mpaka mwezi Aprili-2021.
Bajeti nzima ya upanuaji huo wa kiwanja inatajwa kufikia paundi bilioni 1.


Povel
Habar njema
Furahav
Itakuwa poa sana.
Cathe
Safi sana
Shafii
Gud newz
Issa
Bora wauongeze uwanja ili uwe na uwezo
Wa kubeba watazamaji wengi
Tahiya
Safi utakuwa uwanja mzur sana
Ester jackson
Jamni wameweka mbali sana mpaka mwakani daah ila powa zaidi wanaweza kuweka ramani ya uwanjani bora zaidi
Gabriel
N habar njema sana 👍 kwa club
ya Chelsea kuwa wameona vyema
kufanya upanuz wa kiwanja cha Stamford bridge club ya Chelsea
Nice update 👍
# meridianbet Tanzania
Amiri Kayera
Habar njem kwa wapenz wa Chelsea
isha
Ameamua jambo zuri sana
Omary lukumbi
Duuh ni habar njema hizo kwa club na mashabiki wake kuwa watakua na uwanja mpya na wa kisasa zaid
Theckla
Imekaa poa
Mwajuma
Habari njema kwa wapenzi wasoka
Theonestina
Wanafanya vizur Sana
fatumakasom
Habari njema kwa club na mashabiki wake
Aziza mushi
Safii Sana itakuwa uwanja mzuri saaana.
Johnmary joel
Maamuzi mazuri#meridianbett
Samiah
Safi nihabari njema kwa wapenzi wa mpira
mwakalosi
sidhani kama bado Roman ana mipango ya kuendelea na uwekezaji mkubwa baada ya misuko suko yake na serikali ya uingereza
Rehema
Imekaa vizuri sana
Hamidu
Habari nzuri kwa mashabiki wa Chelsea kwa upanuzi wa barabara#meridianbettz
Antony Luseno
Kwa muonekano utakuwa uwanja mzuri sana
Elika
Utakuwa uwanja bora sana kuliko hivyo ulivyo kwa sasa
Neema juma
Wazo lao ni zuri kuboresha uwanja uwe bora zaidi
Caroline
Utakua uwanja Mzuri sana
Magdalena
Uwanja matata sana
felister
Bora waongeze uwanja ili uweze kubeba mashabiki wengi
Khadija
Kwa muonekano utakuwa uwanja mzuri sana#meridianbettz
Dorophina
Bora mashabiki elfu 60 ni wengi utakuwa uwanja wa kimataifa
Zeiyana
Hitakua vizuri sana kwa upande wa uwekezaji
warda
Wanadhani watachukua number moja kwa kiwanja bora#Meridianbettz
Salma
Safi sana kwao
Amani
Ila boss wao Ana moyo Sana kutoka kwenye mgogoro na selikali bado anataka kupanua uwanja nouma sana#meridianbettz
Evaluziga
Imekaa poa
David Pere
Mambo ya pesa hapo kutumika sasa
Sadick
Endapo project hii itakamilika utakuwa moja ya viwanja vikubwa duniani#meridianbettz
Devotha
Utakua ni uwanja mkubwa na bora pale utakapokamilika!
Mariam mtandama
Habari mjema
Ester mmakasa
Utakuwa uwanja wa kimataifa sana kimtazamo.
Hope mwaikuka
Vzur sana
Ernest
Stamford Bridge utakuwa bonge la uwanja
Sabrina
Maoni:Habari njema hii
Agness
Utakua uwanja mzuri sana
Samira
Ni jambo zuri kwa Chelsea na mashabiki wake
Emmy cleopa
Habari njema sana
Fatina mfingi
Ujumbe mnzur