Leo ni siku ya mwisho ambayo Chelsea itaweza kuwapa mikataba mipya ya muda mfupi nyota wake, Pedro Rodriguez na Willian Borges.
Mikataba hiyo ya muda mfupi inamaanisha wataendelea kusalia Chelsea mpaka msimu huu utakapomalizika kisha watakuwa huru kuondoka.

Lakini wasiposaini mikataba hiyo inamaanisha itakapofika tarehe 30-Juni watakuwa huru kuondoka Chelsea ambapo Chelsea itakuwa bado haijamaliza michezo yake ya UEFA, ligi kuu Uingereza na Kombe la FA kwa msimu huu.
Inamaana leo ni siku yao ya mwisho ya kuamua kama watabaki au wataondoka.


Shafii
Taarifa njema kwako
Issa
Kama wasiposaini chelsea itawakosti maana kuna wana umuhimu kwenye kikosi
Ester jackson
Wasaini tu jamani bado tunawahitaji katika msimu huu
Njiku
dah willims ni mchezaji mzuri sana kama atasepa pale darajani najua klabu kubwa zatahitaji sahihi yake pia hivyo hivyo kwa pedro ni wachezaji wazuri
Gabriel
Hatimaye imefikia muafaka maana kuna tetesi ambazo zinasemaekana kuwa majembe hayo yanaweza kuondoka xo n habar njema kutoka meridianbet kwa taarifa nzur ambayo inatupa muafaka kamil ya wakongwe hao wa Chelsea
Pedro na William
Have a great update 👍
# meridianbet Tanzania
Povel
Thnks meridian bet tz kwa update
Amiri Kayera
Wasaini t ili waendelee kuepo
isha
Makala.nzuri
Mwajuma
Uwamuzi niwao sisi wengine watazamaji tu
Hidaya
Asante meridian bet kwa update
Omary lukumbi
Duuh hii imekaaje ila sawa tuu ni muda wao kuondoka maana Chelsea ina hitajika kua na sura mpya sasa na soka la nguvu linalotokana na vijana
Theckla
Wabaki tu
Theonestina
Duuuh atar
Fadia bakari mgaza
Meridianbet mnanikosha sana
fatumakasomo
Wasaini tu
Aziza mushi
Makala nzuri Sana 👍
Johnmary joel
Ni heri wasaini ili klabu ya cherlsea izidi kuwa himara#meridianbett
Samiah
Makala safi sanaaa
mwakalosi
ni muda wa kutumia shukrani na kuwajali mashabiki sasa tumalize wote na msimu
Rehema
Asante meridianbet kwa taarifa
Hamidu
William & Pedro bado ni wachezaji muhimu sana pale Chelsea Kama wataondoka wataacha pengo kubwa sana.#meridianbettz
Saupha mohamed
Hao ni wachezaji wazuri wanaki tuu
Leonard
Wapewe mkataba mrefu tu
Mwanahamisi
Asante kwa taarifa
Antony Luseno
Bora ya William abaki
Elika
Wasaini tu hiyo mikataba na waendelee kubakia hapo
Neema juma
Wasiondoke nawashauri wabakie tu waendeleze mkataba
felister
maamuzi wanao wao kusain ama la
Caroline
Ila wana mchango mkubwa sana Chelsea.
Zeiyana
Leo ndio leo hatimaye imefika muda muafaka majembe hayo kumaliza mzizi wa fitina
Magdalena
Wasajiliwe tu waendelee kubaki apo
Dorophina
Bora wachague kubaki mbona klabu ipo vizuri tu
Genia Sikaluzwe
Ahsant meridian kwa taarifa
Ester mmakasa
Jamani wabaki tu tumeshawazoea .
Salma
Bora wangebaki tyu
Amani
ni muda wao kuondoka maana Chelsea ina hitajika kua na sura mpya sasa na soka la nguvu linalotokana na vijana#meridianbettz
Evaluziga
Wasain tu ili waendelee kuwepo
David Pere
Watakubaliana tu maana bado viwango wanavyo Hawa wachezaji
Sadick
Willian amekuwa na mchango mkubwa sana kwa Chelsea#meridianbettz
Devotha
Asante kwa taarifa
Tahiya
Ni maamuz magumu sana hayo kuamua kubaki au kuondk
Mariam mtandama
Habari mjema
Angelina
Wafanye tu maamuzi magumu hapo
Hope mwaikuka
Watajua wenyewe
Sabrina
Maoni:Asante kwa taarifa
Agness
Safi Sana inapendeza
Samira
William ametoa mchango mkubwa sana kwa Chelsea
Angelina
Waendelee kubaki chelsea
christopher
Hao ni watu wa muhimu, chelsea ijitahidi kubaki nao
Emmy cleopa
Makara manzuri sana
Furahav
Habari nzuri.