Kwa mujibu wa Sky Sports Juventus wamekubaliana na Barcelona kulipa ada ya € 80m kwa ajili ya usajili wa kiungo Arthur Melo, katika mpango ambao unaweza kufuatwa na uhamisho wa Miralem Pjanic kwenda Camp Nou.

Arthur Henrique Melo anayejulikana kama Arthur alizaliwa 12 Agosti 1996 na ni mchezaji wa soka mwenye asili ya Brazil anaecheza kama kiungo kwenye klabu inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania Laliga akitokea kwenye akademi ya kukuza vipaji vya michezo ya Gremio Mwaka 2017. Alisajiriwa na Barcelona kwenye dirisha la usajili 2018/2019.
Licha ya Arthur kupendelea kubaki Barcelona, Juve inatarajia kumshawishi kiungo huyo kutokana na kocha Maurizio Sarri kuwa na mpango wa kuhimalisha safu ya kiungo kwa kumtumia Arthur kama alivyofanya akiwa na Jorginho wakati wake huko Napoli na Chelsea.
Juventus wametoa ofa ya mshahara mnono takribani €5m kwa mwaka kumnasa Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 23, ambayo ni malipo makubwa zaidi ukilinganisha na pale Barcelona.


Elika
Itakuwa vizuri sana
Neema juma
Duuuu wamefanya jambo la maana sana
Zeiyana
Haende tu hiyo ndio faida ya kuwa mchezaji mzuri na ndio faida ya kutafuta mashabiki na umaarufu /ustaa/unaanzia hapo
felister
kiwango chake kinaendana na iyo ela…?
Caroline
Dahhh pesa madafu
Magdalena
Pesa ndo mpango mzima wamchukue tu
Rehema
Aisee pesa Kama zote
Khadija
hiyo ndio faida ya kuwa mchezaji mzuri#meridianbettz
Mwanahamisi
Itakuwa vizuri
Dorophina
Habari nzuri kwa mashabiki wa juve
Genia Sikaluzwe
Habari njema kwa mashabiki wa soka
Sadick
Wazee wa dezo sasa hivi wanasajiri kwa hela ndefu kiasi hicho! Siku zote Juventus husajiri wachezaji waliomaliza mikata kwenye timu za awali#meridianbettz
Aziza mushi
Habari nzuri Sana👏
warda
Kwa dau hili Lazima Ataenda tu#Meridianbettz
Salma
Madau yao yanawashawish sana wachezaji
Antony Luseno
Atua njema kwa juve maana usajili mwingi uwa haufanikiwi
Amani
Wazee wa kitonga mtelezo sasa hivi wanasajiri kwa hela ndefu Siku zote Juventus husajiri wachezaji waliomaliza mikataba na timu zao#meridianbettz
Evaluziga
Itakuwa vizuri sana
David Pere
Yani juve wanafosi kuwasajili wachezaji wazuri ili wachukue UEFA lakini wanashindwa
Devotha
Mngekua mnatusaidia kubadilisha hizo pesa kutoka kwenye pauni au Euro kuja kwenye shilingi ili tuelewe zaidi!
Hongereni sana Juve
Hamidu
Kiungo fundi huyo..juve wamelamba dume#meridianbettz
Tahiya
Kiungo mzur na bado umri ni mdgo ana safari ndefu kimichezo
Leticia
Itakuwa vizuri
Gabriel
Aurth melo n bonge la mchezaji anastahil kupewa thaman kubwa sana 👍
maana yuko vzur sana huyu jamaa tumeshaona maajabu yake akiwa Brazil
pia ataakiwa Barcelona tunatambua uwezo wa huyu kiungo
hivyo kwenda kwake Juventus atakuwa ameenda kuziba pengo na kumfaya cr 7 afanye maajabu makubwa sana
kitendo cha Mauricio kukubal kumwachia melo kutaifanya juve kurud nafasi nzur katika msimu ujao
N habar njema sana 👍
# meridianbet Tanzania
isha
Safi sana wamefanya vizuri sana
Issa
Ni safi atasaidia kwa nafasi ya kiungo pia ni mchezaji mzuri sana kwa nafasi hiyo alionekana pia akiwa barrcelona
Povel
Kila la kheri
Shafii
Gud newz
Ester jackson
hivyo kwenda kwake Juventus atakuwa ameenda kuziba pengo na kumfaya cr 7 afanye maajabu makubwa sana
kitendo cha Mauricio kukubal kumwachia melo kutaifanya juve kurud nafasi nzur katika msimu ujao
N habar njema sana 👍
Ester mmakasa
Jamaa atakuwa anafanya maajabu sana ndio maana wamempitisha.
Hope mwaikuka
Watu na pesa zao
Mwajuma
Anastahili kupewa thamani hiyo maana yupo vizuri
Neema hassan
Mchezaji mzuri lazima dau Liwe nono…
Omary lukumbi
Duu hyo mbona pesa nyingi au kulingana na kupanda kwa thaman ya wachezaj kwa sasa kwenye soko ila n mchezaj mzr sana
Ernest
Watu wengi wamekuwa wakimuongelea Miralem Pjanic kama sio mchezaji sahihi kuchezea Barca zaidi wamekuwa wakitoa maoni kwamba Ratic, Vidal na Griezman kuuzwa na kutafuta wachezaji bora zaidi.
Sabrina
Maoni:Ilindio jambo la muhimu
Amiri Kayera
Duh PSG wanaela Sana na Corona hii
Johnmary joel
Ee habari njema#meridianbett
Latifa juma mohamed
Itakuwa njema
Samira
Akajitahidi kuonyesha maajabu uwanjani kama juve ilivyojitolea kumsajiri kwa pesa ndefu
Rehema
Ni Jambo zuri sn
Angelina
Juve wako vizuri
christopher
Pesa nyingi sana hzo, cdhani kama arthur ana thaman hyo
Emmy cleopa
Itakuwa vizuri sana
Samiah
Nihabari njema sanaaa
Furahav
Habari nzuri.
Theonestina
Itakuwa poa sana