Lucien Favre ataendelea kubaki katika klabu ya Borussia Dortmund msimu ujao na kiongozi wa michezo Michael Zorc anatumaini kumuongeza mkataba mpya Giovanni Reyna.

Kocha huyo kutoka nchi ya Uswis amebakiwa na mwezi mmoja katika kandarasi yake lakini Zorc amesema BVB kuelekea msimu wa 2020-2021 wanatarajia kumuongeza mkataba kocha Favre.
“Tuta kwenda kwenye msimu mwingine tukiwa na menejimenti ile ile na tunataka kuiimarisha zaidi,” alisema Zorc katika mkutano wa habari kabla ya mchezo wao wa mwisho wa msimu wa Bundesliga dhidi ya Hoffenheim utakao chezwa siku ya Jumamosi.
“Tuna ushirikiano mzuri na tutafanya mazungumzo na Menejimenti iliyopo kwa sasa.”
Reyna mwenye umri wa miaka 17 alianza mechi yake ya kwanza ya Bundesliga dhidi ya RB Leipzig wiki iliyopita na alitoa pasi iliyo leta goli la kwanza lililofungwa na Erling Haaland katika ushindi wa 2-0, na kuwafanya Dortmund kumaliza msimu katika nafsi ya pili.

Kinda huyo wa Kimarekani ambaye ana kandarasi ya mpaka Juni 2021, alicheza vizuri akiwa katika timu ya wakubwa na kupelekea kuushawishi Uongozi kumuongeza mkataba.
“Lucien na mimi tumekubali sana kuhusu Giovanni.Tunaamini ana mazuri mengi na uelekeo nyoofu” alisema Zorc.
“Tupo katika mazungumzo mazuri na Gio kuhusu kumbakisha mapema akifikisha umri wa miaka 18.
“Hii ni hadithi ya mafanikio tunayo taka kuendelea nayo.”
Dortmund wanatarajia kumuongeza katika kikosi chao Thomas Meunier kutoka klabu ya Paris-Saint-Germain anaye cheza nafasi ya ulinzi kwa uhamisho huru kwa msimu ujao.
Walakini, Zorc anatumai kukubaliana dili na Real Madrid kuhusu Achraf Hakimi ambaye yupo kwa mkopo kuendelea kubaki katika dimba la Signal Iduna Park kwa mwaka wa tatu.


Gabriel
Habar njema
isha
Makala nzuri
Ester jackson
Habari njema sana kwa mashabiki wake mana tunataka aendelee hapo hapo
Sabrina
Maoni:Asante kwa makala #meridianbettz
Omary lukumbi
Duu hyo n habar mbaya kwa club zilizo kua na mpango wa kumsajili kinda hyu
Edgar
asante kwa makala nzuri
Povel
Gud news
Rehema
Bonge la makala
Njiku
Ipo poa hii safii sana
Amiri Kayera
Abaki aendelee kuisaidia team
Hamidu
Habari njema kwa mashabiki wake maana
Dortmund ndo timu sahihi kwake
Latifa juma mohamed
Makala safu
Salma
Habari njema
Theckla
Ni vizuri
warda
Dot hawataki wachezaji wao wazuri waondoke#Meridianbettz
Dorophina
Habari nzuri hiyo kwa timu
Mwanahamisi
Habari njema
Magdalena
Amuongezee tu mkataba ili aendelee kuitumikia Dortmund
Genia Sikaluzwe
Habari njema Sana
Zeiyana
Hitakua habari njema kwa mashabiki wa dortmond..! Reyna ni mchezaji kinda hanayejituma sana clabu nyingi zinamtolea macho
Caroline
Ana mazuri mengi sana.abaki tu Dortmund
Lydia Emmanuel Magoti
Asanteen meridian kwakutupa makara mazuri
felister
habari njema kwa mashabiki wa dortumnd
Elika
Abaki tuu hapohapo aendelee kulisakata kabumbu
Sadick
Ni jambo zuri kusikia bodi ya timu inakuhitaji#meridianbettz
Ernest
Maskini Favre!! huenda amekosa bonge la deal.
Ester mmakasa
Ni habari nzuri kwa Favre.
Adelta
Good news
Mariam mtandama
Habari mjema
Shafii
Gud news kwa Favre ajipapange kuwapa wana Dortmund wanachokitaka katika club
Tahiya
Michael kakaza mchezaji wake kuondoka Dortmund
JULIANA
Aongezewe tu mkataba,ataondokaje kwa mfano
Angelina
Abaki tu
lombo
gud news
Devotha
Ni habari nzuri
Leonard
Reyna yupo vizur
Issa
Safi sana kubaki hapo dortmundi ni timu nzuri
Hope mwaikuka
Abak tu hapo hapo
Furahav
Hii habari iko vizuri.
Frank Patrick
Dortmund team ya vipaji hawa jamaa walenga sana macoach wazuri
Mwanaidi
Aendelee kubakia tuu
Agness
Habari njema
David Pere
Kama mxhezaji mwenyewe anataka kuondoka hawawezi kumzuia
Samiah
Iko vizuri sana hii habari
Emmy cleopa
Habari njema
Tatu
Good news