Daniel Dubois atakuwa anavaana na Joe Joyce. Hawa wote hawajawahi kupoteza pambano katika ndondi za kulipwa.
Mabondia wa ngumi za uzani wa juu Heavyweights Daniel Dubois na Joe Joyce watapambana Oktoba pale London O2 Arena.
Awali pambano la kuwakutanisha mabondia hawa lilikuwa lifanyike Julai 11 lakini mabadiliko hayajakwepeka kama kwenye michezo mingine. Pambano hili sasa litafanyika Oktoba 24.
Kwa mujibu wa Promota Frank Warren, anaamini pambano hili litakuwa la kihistoria. Na mshindi atapata nafasi katika ubingwa wa Dunia.

Joyce, ambaye ana miaka 34 hajawahi kupigika katika mapambano yake 10 ya ngumi za kulipwa. Anasema hii ni taarifa njema kwake kwa sababu atapata nafasi ya kumtupia ‘mijigumi’ Dubois.
Wakati kwa upande wa Dubois, bingwa wa Uingereza ameshinda mapambano yake yote 14 ya ngumi za kulipwa.
Sehemu za mazoezi kwa wanamichezo (Gyms) kwa sasa ziko wazi baada ya mda mrefu wa kuwa karantini. Mabingwa hawa wote sasa wanatarajia kuhudhuria zaidi mazoezini kwa ajili ya kujiandaa na pambano huku kila mmoja akitamba kuwa atamuonesha kazi mwenzake.
Mwandishi kama mwandishi, nawakumbusha hawa wanaotafuta ugali kwa kudundana usoni, kuwa wakati soka tunasema mpira dakika 90, huku ushindi unaweza kupatikana kwa kunyata tu, yaani KO🥊! Ukipigwa “Knock Out” na kushindwa kuamka pambano limeisha!


isha
Siku iyo patachimbika
Ester jackson
Haya ndiyo mapambano ya kuangalia sasa mana wote watakuwa wanataka kuendelea kupambana bila kupigwa sasa nani atakae taka kupigwa ? Hilo ndilo nataka kujua October ##asante sana meridianbettz
Omary lukumbi
Mm hapo kwa joe joyce nampa 80% kushinda pambano japo mchezo utakua mgumu sabab kila mmoja ajawah kupoteza pambano.lake
Khadija
daah litakuwa bonge la pamano sio la lulikosa#meridianbettz
Gabriel
Mechi kal sana 👍
Sabrina
Maoni:sipati picha siku hiyo ya,pambano
Edgar
aya asante kwa taarifa nzuri huku na mimi nikisubili kuona nani atachapwa maana joyce anasema yeye katika mapambano karibuni kumi hajawai pigwa, je…! bado joyce ataendeleza historia yake
Povel
Thnks kwa update
Rehema
Mechi Kali sn
Njiku
Joyce kwa rekodi yake yupo poa sana ameshinda mapambano 10 si mchezo tena ya kulipwa ila bado anakipengele kizoto sana kukabiliana na mpinzani wake ambaye yeye ni bingwa wa uingereza na ameshinda mapambono 14 ya kulipwa anaonekana yupo poa sana DUBOIS hivyo bhasi licha kushinda mapambone mengi bado anachangamoto juu ya mchezo wake na joyce mechi kali hik ntaingalia maana wote wapo vizuri,litakufa jitu hapa hahahahaha
Amiri Kayera
Litakua pambano Kali mno
Latifa juma mohamed
Thanks meridian for new infomtion
Salma
Mechi kali sana
Theckla
Habari njema acha tusubiri kuona nani mkali
Aziza mushi
Habari njema njema Sana hizi 👏
Hilda
Itakuwa hatareeee
warda
Itakuwaje sasa wote hawajapoteza pambano#Meridianbettz
Mwanahamisi
Mechi kabambe
Dorophina
Mpambano utakuwa wa kibabe na hivi wote wapo fiti najua hakutakuwa na mmoja wapo atakaye kubali kupoteza pambano hilo
Magdalena
Mtanange mkali sana huu ngoja tusubiri matokeo
Zeiyana
Pambano litakua si lamchezo ukiangalia wote hawajawai kupoteza hata pambano moja sijui itakuaje
Genia Sikaluzwe
Siku hiyo patakuwa hapatoshi
Caroline
Aisee mi nasubiria iyo siku maana itakua ni burudani
Lydia Emmanuel Magoti
Ilopambano silakukosa patachimbika ngumi jiwe
felister
nalisubiria kwa hamu kubwa
Elika
Nasubiri kuona mshindi nani hapo.maana wote wako vizuri
Ester mmakasa
Mpambano huo si wa kukosa iyo oktoba .
Sadick
Ndondi mchezo wa kuvutia sana na umekuwa kivutio kikubwa#meridianbettz
Ernest
Hili pambano lazima litakuwa na KO, Ngumi jiwe mtu chali.
Fatuma kasomo
Ntasubiria mshindi nani siyakukosa
Adelta
Mechi Kali Sana
Mariam mtandama
Mechi mzur sana
Tahiya
Tunasubir tuone mana nimemiss kuona ngumi za heavyweights
Shafii
Ukiachana na lile la fury na Joshua hili pambana nalo linasubiliwa Sana kwa mchecheto mabondia ote wako fit
JULIANA
Asante kwataharifa,maana pambano litakuwa moto
Angelina
Joe mtu mbaya
lombo
namkubali sana Daniel dubois
Devotha
Pambano hili litakua gumu si rahisi kutabiri nan mshindi
Antony Luseno
Dubois hatomwachi salama mpinzani wake
Hamidu
Ngumi jiwe ..Hilo pambano bingwa atapatika round zote kuisha..Ila me nitakuwa upande wa dubois#meridianbettz
Leonard
Acha kipigwe tuone mbabe nan
Issa
Ni bonge la pambano ila joe ataondoka na point muhimu
Asia Abdy
Noma sanaaa
Hope mwaikuka
Duh itakua balaa
Furahav
Mana sijawai kubashiri ngumi ila pambano ili nitabeti.
Frank Patrick
Tunalisubiri kwa hamu
Saupha mohamed
Iyo siku itakua nomaaa sana
Mwanaidi
Pambano la kukata na shoka
Agness
Pambano la kishijaa
David Pere
Wapigane tu watu tupate burudani
Samiah
Duuh ckuhiyo patachimbika
Evaluziga
Sipati picha siku ilo la pambano
Rehema Dickson
mimi nikisubili kuona nani atachapwa maana joyce anasema yeye katika mapambano karibuni kumi hajawai pigwa, je…! bado joyce ataendeleza historia yake
Amiri Kayera
Litakua pambano la kukata na shoka
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Tatu
Mechi ya kibabe