Makocha wanne ambao waliziongoza timu zao mnamo Juni kutofungwa wametajwa kuwania tuzo ya kocha bora wa mwezi wa Sita ndani ya Premier League.

Matokeo ya timu zao katika kipindi cha mwanzoni mwa mwezi Machi, kabla ya msimu wa Ligi kusimamishwa, pia yamezingatiwa… Makocha wanaowania tuzo hii ni
1. Steve Bruce (Newcastle United)
Bruce ana lengo la kupata tuzo hiyo baada ya kutofungwa mechi tatu alizo cheza tangu kurejea kwa ligi. alishinda 1-0 dhidi ya Southampton pia Alishinda dhidi ya Sheffield United 3-0 na alitoa sare ya 1-1 dhidi ya Aston Villa.
🏟 Mechi 3
✔ Ushindi 2
🤝🏻 1
⚽ Magoli 5
🎯 Magoli ya Kufungwa 1
2. Nuno Espirito Santo (Wolves)
Kocha mkuu wa Wolverhampton alikuwa ameshinda mchezo wake na Tottenham 3-2 mwezi machi kabla ya kushinda mechi tatu mfululizo bila kuruhusu goli, na mechi moja walikwenda sare ya 0-0 pia kwa upande wake amefuzu kushiriki kombe la Europa League kwa mara ya pili mfululizo.
🏟 Mechi 5
✔ Ushindi 4
🤝🏻 1
⚽ Magoli 7
🎯 Magoli ya Kufungwa 2
3. Frank Lampard (Chelsea)
Kocha mkuu wa Chelsea Frank Lampard hii ni mara ya pili kwa upande wake kuwania tuzo hizi ikiwa ndiyo msimu wake wa kwanza katika Premier League, ameshinda michezo yote mitatu kwa mwezi Juni pia ameendelea kulinda nafasi ya nne bora kwenye msimamo.
🏟 Mechi 3
✔ Ushindi 3
🤝🏻 0
❌ Kupoteza 0
⚽ Magoli 8
🎯 Magoli ya Kufungwa 2
4. Ole Gunnar Solskjaer (Manchester United)
Mnorwei ameleta tumaini katika klabu ya Manchester United na wanaweza kumaliza katika nne bora kwa kuwafunga Manchester City mwezi machi kisha kuwafunga 3-0 Sheffield United, wakawapa pia 3-0 timu ya Brighton baada ya ligi kurejea.
🏟 Mechi 5
✔ Ushindi 3
🤝🏻 2
⚽ Magoli 10
🎯 Magoli ya Kufungwa 2


Ester jackson
Frank Lampard anastahili kabisa kuchukua kunzo hiyo
Zeiyana
Steve hana haki ya kupata tuzo hizo
felister
wote wanastahili ila siku zt mshindi ni mmoja
Dorophina
Lampard anastahili tunzo hiyo kabisa
isha
Frank anasitahili kabisa iyo tunzo
Aziza mushi
Frank lampard anastahili kabisa kupata tuzo hiyo.
Genia Sikaluzwe
Lampard tuzo anastahii
Magdalena
Lampard namkubali Sana tangu akiwa mchezaji yupo vizuri Sana anastahili tuzo
Sadick
Frank Lamperd anasitahili kuwa Kocha bora wa June#meridianbettz
Johnmary joel
Nimchezaji mzuri#meridianbett
JULIANA
Yuko vema, anastahiri tunzo
Isaya massawe
Kuna kocha sijamwona hapo
Amani
Ole guna ndo anastaili iyo tunzo
Neema juma
Wako vzr ila sie tunasubiria huyo mshindi atakayeteuliwa
Lydia Emmanuel Magoti
Mm naona wote Wana stairi
Povel
Nuno Anastail TUZO hiiiii
nasra
Hongera sana kocha
Khadija
Frank anastahili tuzo#meridianbettz
Rehema Dickson
Frank lampard anastahili kabisa kupata tuzo hiyo.
Caroline
Lampard atashindaa
Hamidu
Bruno & ole ndiyo wanastahili kuchukua tuzo hiyo#meridianbettz
Ernest
Kocha wa Wolves Nuno Espirito Santo anastahili tuzo ya kocha bora mwezi wa sita
Revina
Lambard ana sifa zote za kuchukuwa Tuzo ya kocha bora .
Samiah
Atashinda Lampard
warda
Hapa Apewe Bruce Tu#Meridianbettz
Hope mwaikuka
Axante kwa habar
Sabrina
Maoni:wote wanastahili kuchukua kwa mitazamo ya kawaida lkn mmoja katiyao ndio atakae chukua hiyo tuzo ambaye atakua anavigezo vyote vya kuchukua tuzo hiyo
Njiku
Wote wanastahili tunzo hiyo ila mmoja ndio atachukua tuzo hiyo me na wwe hatujui yetu macho ngoja tuone
fatumakasom
Wote wanastahili ila mwisho wa siku mshindi mmoja
Issa
Kila kocha kaiwakilisha vizuri lakini kwa rekodi za Nuno atweza kumtwaa tuzo hiyo
Angelina
Lampard yuko vizuri
Furahav
Ole guna wa man u lazima achukue.
Gabriel
Habar njema sana 👍
Saupha mohamed
Lampard mshindii
Rehema
Lampard namkubali
Amiri Kayera
Naon tuzo ipo waz Kwa ole Kwa alichokifanya maan ni unbeaten Kwa michi 15
Devotha
Namuona Ole akichukua tuzo mwezi june
Salma
Kila la heli kwao
Latifa juma mohamed
Lampard anastahill
farida ahmadi
Wote wanastaili tuzo ya kocha bora lakini ngoja tuone kwnz Asante meridianbettz kwa taarifa
Janeflora malisa
Good
Theckla
Bruce anachukua tuzo namkubali Sana
Omary lukumbi
Wote wako vzr wanastahili ila kwa mm naona ole gunnar
David Pere
Ole Ndio kocha Bora hapo Yani hakina u ishi kabisaa
Theonestina
Frenk lampard anastaili tunzo
Tatu
Hana haki ya kupata tuzo Steve
Shafii
Frank lampad wampe tuzo yake ameparfom vizuri kwa mwezi june.
lombo
vzr