Jurgen Klopp - Bado Nipo Vile Vile "Normal One"

Jurgen Klopp amesisitiza kuwa alikuwa wa kawaida licha ya kuleta taji la EPL Anfield,  lililosubiriwa kwa muda mrefu katika klabu ya Liverpool.

Liverpool wamepata kombe la kwanza la Premier League tangu walipo fanya hivyo mwaka 1990 chini ya kocha Kenny Dalglish.

 

Baada ya kutua kunako klabu ya Liverpool mwaka 2015 mwezi Oktoba Klopp aliamua kujiita “the normal one” yani wa kawaida na meneja huyo wa Liverpool amesema hajabadilika atabaki kuwa wa kawaida.

“Mimi bado ni wa kawaida tu. Mimi sio Spesho/Maalumu ,” aliiambia Mirror.

“Nina ujuzi kidogo na bahati vinavyo hitajika katika soka, ambacho ndio kitu ninanacho kipenda sana, lakini yote ya yote mimi sio “Special” bado sijamaliza.

“Nafikiri mimi ni mtu mzuri, Nadhani mimi ni mtu poa. Inaonekana inachukiza lakini ndio ukweli.”

Klopp ameshinda vikombe mbalimbali na kulipendezesha kabati la hao Majogoo wa London tangu achukue mikoba ya kuinoa Liverpool vikombe hivyo ni kama England Premier League, UEFA, Super Cup na Club World Cup.

Lakini kocha huyo mwenye umri wa miaka 53 amesema hana mipango ya kuongeza muda wa kuendelea na kazi hiyo kwa muda mrefu, pia alifundishwa na kocha wa Crystal Palace Roy Hodgson ambaye atafikisha miaka 73 mwezi ujao.

“Sijioni mimi kufanya ukocha katika umri huo. Sina mipango yoyote kwenye hilo.

50 Komentara

    Asanten kwa habari meridianbet.

    Jibu

    Klopp the normal one

    Jibu

    Nakukubali sana klopp unaweza bado timu ya Liverpool inakuhitaji na hata timu nyingine zinakuhitaji ingawa tunakuachia maamuzi ni yako

    Jibu

    Ahsant meridian kwa makala nzuri

    Jibu

    Vizuri sana Jurgen klopp umenena vyema

    Jibu

    Liverpool watamkumbuka sana klopp ameifanyia kuania kushinda vikombe mbali mbali vikombe hivyo kama england,premier league,uefa,super cup na clab world cup

    Jibu

    Klopp yupo sahihi lkn ameisaidia sana Liverpool kwa kiwango kikubwa anastahili pongezi

    Jibu

    Klopp yupo vizuri Sana

    Jibu

    Wajerumani ni watu wa kazi hawana majivuno. Klopp hana makuu kama Mourinho#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Kwakweli kloppa anajiamini sana na ndiyo maana timu yake inasonga mbele#meridianbett

    Jibu

    Anahitaji tuzo kabisa huyu

    Jibu

    Klopp hana makuu kama Mourinho#meridianbettz

    Jibu

    Hizo sifa ni za ukweli wala hujakosea wewe ni shujaa

    Jibu

    Vizuri sana Klopp unajua nn unakifanya

    Jibu

    Klopp mzee wa gang press

    Jibu

    Nakukubali sana klopp livepool bado wanakuhitaji#meridianbettz

    Jibu

    watamkumbuka sana klopp ameifanyia kuania kushinda vikombe mbali mbali vikombe hivyo kama england,premier league,uefa,super cup na clab world cup

    Jibu

    Há há há há há hongera

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    Kwa heshima aliyoijengea Liver anastahili kuonekana kuwa kocha bora zaidi kwenye macho ya watu

    Jibu

    Kama anavyosema hana makuu na hapendi kujikweza ,sababu yake ni kwamba anapenda kujua na kuendelea kujifunza ila wao hawaelewi maana yake ,huyo ndo Jurgen Klopp

    Jibu

    Anastahili tunzo

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    nakubali clopp uko Safi kabisa Kwanza umeleta heshima kubwa sana kwenye club yako… Na umepambana kiume coz mwakajana ulikosa ubingwa ukasema mwaka huu lazma kieleweke… Pongezi kwako.

    Jibu

    Naanza Kumpenda Klopp Kwa Maneno yake#Meridianbettz

    Jibu

    Kujikubal vzur tu

    Jibu

    Safi sana klopp nakubali kazi yako na unaona mbali sana kwa ufundishaji wako utafanya liverpool inufaike na wwe na utaleta mataji mengi sana anfied kama uongozi wa liverpool utaafiki mawazo yako

    Jibu

    Kloop ni kocha

    Jibu

    Klopp yuko tofauti sana

    Jibu

    Yupo sahihi simpingi

    Jibu

    Jurgen klopp n kocha mzur sana japo watu wengi wanamtambua Kama kocha ila klopp pia alishawai kuwa mchezaji
    Katika miaka mitano ya karne mpya iliongezeka Star Zhoz
    miaka miwili mwalimu Munich “Bavaria” Jupp Heynckes ina ilifufuka gari uliochakaa na alishinda kwa mataji matatu yake – nyara tatu katika msimu mmoja. Lakini hata zaidi heshima anastahili Jurgen Klopp, karibu kutoka mwanzo wa kujenga timu, ambayo sasa kuwa mmoja wa nguvu katika Ulaya.
    Hii ni kocha ambaye inaweza pia kuwa kubwa na kwenda chini katika historia ya kandanda duniani, kwa sababu katika historia ya “Borussia” kutoka Dortmund, yeye usahihi aliingia. Jurgen Klopp alizaliwa 1967 katika Stuttgart., wana wawili, mmoja wao hata kuichezea timu hifadhi ya “Borussia” mpaka wastaafu mapema kutokana na majeraha mbalimbali. Klopp anaishi katika mji wa Herdecke, ambayo ni chini ya Dortmund – kwamba wengi wa wachezaji wake nje huko na kuishi.
    Kwa hiyo, pamoja na wazo la mpira wa miguu, mbinu yake na mafunzo – wote ni tu kipaji.
    Lakini Klopp Yurgen si mara moja kuwa kocha – yeye umetoka mbali kama mchezaji. Hermann alicheza katika haki-nyuma, lakini hawawezi kusema kuwa yeye ni nyota – alikuwa hata alimwita na timu ya taifa ya Ujerumani. Hivyo Klopp mara wastani mchezaji ambaye alianza kazi yake katika “Glatt”, ambayo yeye kushoto mwaka 1983 katika “Ergentsingen”. Kisha bado miaka 16, hivyo juu ya mafanikio makubwa kwenye uwanja bado hakwenda – klabu mpya Hermann kuboresha mchezo wake, kupata uzoefu, na akaenda na “Pforzheim” katika miaka minne, lakini bado hakuwa ngazi ya wachezaji ndoto. mlinzi 20 mwenye umri wa miaka hakuwa kunyakua nyota kutoka angani, alifanya kazi kwa bidii na ilikuwa zawadi ya miezi sita na baadaye kuhamia Frankfurt, ambapo alianza kusema tayari timu ya kuvutia zaidi “Rot-Weiss”. Lakini kuna Klopp Yurgen hawakukaa kwa muda mrefu sana na kuhamia Shindlingen zaidi ya miezi sita, ambapo alianza hotuba yake kwa “Victoria”.
    Mwaka mmoja baadaye alichukua mpira wa miguu kurudi Frankfurt, lakini “Rot-Weiss” ilikuwa tu hatua ya mwisho kabla ya mwisho skydiving Hermann – mwaka 1990 akiwa na umri wa 23, alijiunga na timu, ambayo amefungwa mwenyewe kwa miaka mingi.
    Mpka anaingia Dortmund 2008 na hatimaye kuingia Liverpool na kuanza

    Jibu

    Klopp jeshi yuko vizuri.

    Jibu

    Klopp yupo normal sana

    Jibu

    Maoni:klopp yuko vizur

    Jibu

    Kocha mzuri

    Jibu

    Ni kocha asiependa kujiona yeye nd yeye ila history itaongea atapoondok km mfalme

    Jibu

    Kocha huyu anajiamini sana

    Jibu

    Klopp yuko vzur

    Jibu

    Umenena vema.

    Jibu

    Yupo sahihi klopp

    Jibu

    Klopp yupo vizur sana

    Jibu

    Klopp n kocha mzr na asie penda majivuno

    Jibu

    Hakutaka kuvimba kichwa Kama Alina morinho

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Klopp yupo vizuri ana makuu

    Jibu

    Ni bonge la kocha anastahili kuigwa na makocha wote ulimwenguni kwa mbinu zake na Mpira unaovutia.

    Jibu

    mambo ni moto

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.