Liverpool hawajajitoa kwenye mbio za kuwania saini mlinda lango wa kimataifa wa Uturuki, Ugurcan Cakir kulingana na ripoti nchini huko na inaaminika kuwa walipeleka skauti kumuangalua Kipa huyo namba moja wa klabu ya Trabzonspor.
Kulingana na Mwandishi Asist Analiz, Chelsea, Leicester City na Tottenham Hotspur wote wamehusishwa na kipa huyo mwenye umri wa miaka 24, ambaye alicheza katika kikosi cha timu ya taifa kwa mara ya kwanza mwaka jana na amecheza mara 37 msimu huu kwa Mabingwa hao watetezi wa taji la Super Lig.

Trabzonspor ni ya pili kwenye msimamo na michezo mitano imebaki, lakini wanaweza kurudi kuwa vinara ikiwa watashinda dhidi ya Galatasaray na vinara wa ligi, Istanbul Basaksehir watashindwa kuchukua alama zote tatu kwa Antalyaspor..


Ester jackson
Good news
Caroline
Asante meridianbet kwa taarifa
felister
ahsante kwa taarifa
Rehema
Gud news
Mwanahamisi
Asante kwa makala
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Dogo yupo vizuri
Zeiyana
Hitakua vizuri Liverpool wakiinasa saini ya mlinda malango huyu kipa bola sana mwenye uwezo wake na maamuzi yake magumu. ama kweli Liverpool wamejipanga hipasavyo ligi msimu huu patachimbika
Sadick
Chelsea inahitaji golikipa mbadala wa Kepa anayeporomoka kiwango#meridianbettz
Shafii
Licha ya kuchukua ubingwa na kua na kikosi kipana ila kloop bado anataka kuongeza nguvu kwenye kikosi cha Liverpool katika kila sector
Edgar
Asante kwa makala nzuri
Nasra
Asantee kwa taarifa
Franky
Wamchukue tu mbona yuko poa uyu kijana
Hamidu
Vizuri ! Huyo atakuwa mbadala Allison
Yule Adrian hayuko vzr sana#meridianbettz
Khadija
Ahsante kwa makala nzuri#meridianbettz
Johnmary joel
Yupo vizuri#meridianbett
Fatuma kasomo
Good news
Genia Sikaluzwe
Jamaa yuko vizuri na atakuwa badala Allison
Ernest
Cakir anahadhi ya kuwa mlinda mlango namba moja napata shida sana kama atachagua timu ambayo atakuwa mbadala wa kipa namba moja.
isha
Kijana yuko fiti wambebe tuu
Revina
Itakuwa vyema sana ,maana Kocha wa liver pool atakuwa na kikosi cha maana ,kijana yupo vizuri
Issa
Ni safi wakimchukua kuliko kumtegemea kipa mmoja
Dorophina
Habari njema kwa Liverpool
Njiku
Cakir ni kipa mzuri popote atakapotua safii tu
Angelina
Gudnews
Magdalena
Habari za kufurahsha hizi kwa sisi mashabiki wa Liverpool
Frank Patrick
Kuna Becker ,Adrian ,,Karius, wanini sasa huyu
Devotha
Habari nzuri
Povel
Gud update
Amiri Kayera
Nyota yake inazd kuwaka kijan all the best
Furahav
Habari njema kwa Cakir.
Saupha mohamed
Good news
Saupha mohamed
Dogo yupo vizuri
Omary lukumbi
Ni goli kipa mzr na bora pia ila akija vilabu vya epl atatengeneza jina lake zaid
Theckla
Ni kipa mzuri Sana kwa sasa
David Pere
Akipenda Liverpool atatulia Sana na atacheza mpira kwa umakini akijua yupo kwa mabingwa wa UEFA
mwakalosi
hawa wachezaji Klopp anajua sana kuwatumia liver iki win mpata wametusua
Evaluziga
Good news 👍
warda
Pamoja Na Ubigwa Bado Tena Wanataka kusajili#Meridianbettz
Salma
Kikubwa maslah kama kunalipa aende tu
Hope mwaikuka
Yy tu
Mwajuma
Cakir nigolikipa mzuri
Flomena
Cakir Yuko vizuri kunako mlango wa gol
Asia Abdy
Cakir yuko vizur
Samiah
Yuko vzr cakir
Gabriel
Hv good news 👍
neema hassan
Habari njema
Fatina mfingi
Habari njema