Lewandowski Afunga, Bayern Wakitwaa Kombe

Robert Lewandowski amevuka magoli 50 kwa msimu wakati Bayern Munich walipoichapa Bayer Leverkusen kutwa taji la 20 la Kombe la Ujerumani na ni mara ya 13 kushinda mataji mawili ya nyumbani.

Free kick ya David Alaba iliwatanguliza kabla ya Serge Gnabry kuongeza la pili, ndipo Lewandowski alipopiga shuti kali ambalo lilimshinda Lukas Hradecky.

Goli la kichwa la Sven Bender liliwapa matumaini Leverkusen kabla ya Lewandowski  kukamilisha sherehe ya Bayern

Kai Havertz aliifungia Leverkusen goli la penati dakika za lala salama.

Bayern Munich wameweka rekodi ya kutokufungwa mechi 26 na wakipata sare moja tangu mwezi Disemba. Ushindi katika mechi 17 mfululizo ni rekodi pia.

45 Komentara

    Good news

    Jibu

    Ongera kwao

    Jibu

    Good upadate# merianbet

    Jibu

    Hongera nyingi Sana kwao

    Jibu

    Hongera Lewandowski

    Jibu

    pongezi ziende kwao

    Jibu

    Ongera sana kwao

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Ongera kwao

    Jibu

    Ilikua bonge la gemu uzuni ulitawala kwa mashabiki wa leverkusen

    Jibu

    Hongera zao

    Jibu

    Lewandowski ni bonge la straker namkubali Sana huyu jamaa anastahili pongezi akiwa clubuni hapo

    Jibu

    Natabiri Lewandowski kuchukua Ballon D’or mwaka huu#meridianbettz

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    R.lewandosk ni mchezaji Bora pale b.munich ..namkubali Sana anajua kucheka na nyavu. Bigup kwake#meridianbettz

    Jibu

    Hongera zao#meridianbettz

    Jibu

    Wamepambana sanaa big up#meridianbett

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Binafsi namuona Lewandowski akichukua tuzo mbalimabli mwakani

    Jibu

    Duuh kwa hii ni lazima apate tunzo

    Jibu

    Meridian kwa taarifa za soka asikwambie mtu ndo wenyewe mapemaaa ukiwa shabiki wa michezo taarifa zote unazipata

    Jibu

    Bayern ni hatari ujerumani hana mpinzan

    Jibu

    Hakuna kama buyermunich Ujerumani

    Jibu

    Maoni:Buyern munich sio timu ya mchezo mchezo wako vizuri

    Jibu

    Nakubali pongez kwa bayern na kwa lewandowksi

    Jibu

    Pongezi nyingi kwake

    Jibu

    Kuna nyakati unatamani ingekuwa inaruhusiwa kuhama league waende EPL …

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Ni striker hatar anapoliona gor

    Jibu

    Bayern iko vizuri sana.

    Jibu

    Hongera bayern Munich kwa kutwaa taji lingine

    Jibu

    Bayern Munich ni Tim nzuri Sana kwa kuchukua hilo kombe ni sahihi sana

    Jibu

    Yani huyu Lewandowsk wampe tu tuzo zake anasitahili hata kuwa mchezaji Bora wa dunia ikibidi maana hakuna mchezaji mwingine yoyote amabye amefanya vizuri Zaid hake

    Jibu

    huyu mzee anazeeka na utamu wake

    Jibu

    Saafi sana

    Jibu

    Hongera Yao#Meridianbettz

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Pongezi yao

    Jibu

    👏

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Bayern Munich wameweka rekodi ya kutokufungwa mechi 26 na wakipata sare moja tangu mwezi Disemba. Ushindi katika mechi 17 mfululizo ni rekodi pia.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Good news 👍

    Jibu

    Safi sanaaaaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.