Kai Havertz anatamani kujiunga na Chelsea majira ya kiangazi na haitaji kuendelea kutumikia Bayer Leverkusen kwa msimu mwingine. Havertz ni moja ya viungo bora Ulaya kwasasa na kuvivutia vilabu kama Liverpool, Bayern Munich na Real Madrid.
Chelsea tayari wamekamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa RB Leipzig, Timo Werner na kiungo mshambuliaji wa Ajax, Hakim Ziyech, Chelsea bado wanahitaji kujiimarisha zaidi kwa kuingia kwenye mbio za kumsajili Havertz.

Ripoti za Ujerumani wiki hii zinasema wawakilishi wa Havertz wanatambua nia ya Chelsea kumsajili mchezaji wao wiki hii, tayari wametuma ofa rasmi ya kumsaini Havertz kutoka Leverkusen.
Ripoti zinasema mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani anatarajia kuondoka Leverkusen majira haya ya kiangazi, wakati Bayern wanajipanga kutumia pesa kubwa kwaajili ya kiungo huyo. Bayer Leverkusen wanataka £89.5m kwa Kai Havertz.
Leverkusen waliweka ada ya uhamisho €100 million (£89.5m) kwa Havertz.


Edgar
Asante kwa makala nzuri
Magdalena
Aende tu uko Chelsea kama moyo wake unamsukuma kwenda
Njiku
Gud news
Dorophina
Chelsea wajitahidi wamchukue havertz atawasaidia
Angelina
Gud update
isha
Kipendacho roho hula nyama mbichi aendee tuu akajiunge na chelsea
Ester jackson
Msimu huu Chelsea wamesajili wachezaji makini sana je wataweza kuitumikia saini zao kwa Chelsea tunataka tuone mambo mazuri mashabiki .
Frank Patrick
Chelsea naona wanajisuka msimu ujao ni toa jembe ingiza jembe nasubiri kuona mbinu za coach zitafanyaje kazii
Ernest
Naiona Chelsea ikiwa Moto Sana msimu ujao Nadhani wanatafuta mataji baada ya ukame wa muda mrefu
Franky
Dogo hana ipenda Chelsea mwache haende tu
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii Sana mtu upendapo namoyo unapo stairi kupenda Basi yeye kapenda nenda tuu baba kakipige chelsea
Issa
Chelsea itakua moto msimu ujao kwa kufanya usajili wa maana
Gabriel
Kwa wapenzi wa mpira tunatambua vizur Kai Havertz Oktoba 15, 2016, Havertz alicheza mechi yake ya kwanza kwenye kikosi cha Leverkusen alipoingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Charles Aranguiz kwenye kichapo cha 2-1 kutoka kwa Werder Bremen. Kwa kucheza mechi hiyo aliweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye mdogo zaidi kwa timu hiyo kucheza kwenye Bundesliga, akiwa na umri wa miaka 17 na siku 126. Februari 17, 2017 alia-sisti bao la Karim Bellarabi, ambalo lilikuwa la 50,000 kwenye historia ya Bun-desliga. Siku nne baadaye, baada ya Hakan Calhanoglu kuwa na adhabu, Havertz alipata nafasi yake ya kwan-za kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo walipigwa na Atletico Madrid kwenye hatua ya 16 bora. Hiyo ilikuwa mechi ya kwanza. Huo ndio uliokuwa mwanzo wa maisha ya Havertz kwenye kikosi cha kwanza cha Leverkusen na mengine yaliyofuatia baada ya hapo ni historia.
Kiwango cha Havertz kwa msimu huu kimevutia timu kibao za Ligi Kuu England wakihitaji saini yake. Vita kubwa ya kumpata itakuwa kwenye dirisha la Januari, ambapo Manches-ter United, Liverpool na Manchester City zote zinamhi-taji mchezaji huyo. Huku Uje-rumani, Bayern Munich nao wamemweka kwenye mi-pango yao, lakini kinachosubiriwa ni kuona kama vigogo wa Eng-land watashinda kwenye vita ya kumnasa mshambuliaji huyo, ambaye staili yake ya kiuche-zaji imekuwa ikifanishwa na ya supastaa wa Arsenal, Mesut Ozil.
felister
ahsante kwa taarifa
Tatu
Good news
Hope mwaikuka
Aende tu ni sehem salama
Povel
Habar njema
Sabrina
Maoni:Chelsea wajipange tu wafikie makubariano wamchukue Havertz
Theckla
Asanteni kwa taarifa
Furahav
Habari nzuri.
fatumakasom
Gud news
Amiri Kayera
Fursa hii Kwa Chelsea km inamtaka
neema hassan
Habari njema kwa mashabk wa chelsea
Theonestina
Asante meridianbet kwa taarifa
Samiah
Habar njema kwa mashabiki
Shafii
Tunamkalibisha darajani Sana tu na kabla alikua chaguo sahihi kwa kocha wa Chelsea lampad.
Hamidu
Dogo anajua Sana! Chelsea next msimu watasumbua sanaa
Saupha mohamed
Habari njema
Omary lukumbi
Chelsea wafanye aajitahid kumsajili ili kuwe na mapinduzi makubwa msimu ujao
Latifa juma mohamed
Chelsea naona msimu huu mmejipanga kivake kwa kusajili wachezaj mahiri na km mkifanikiwa kumchukua Kai harvet itakuwa vema zaidi
Rehema
Asante meridianbet kwa taarifa
Amani
watashinda kwenye vita ya kumnasa mshambuliaji huyo, ambaye staili yake ya kiuche-zaji imekuwa ikifanishwa na ya supastaa wa Arsenal, Mesut Ozil.#meridianbettz
Zuhura omary kindamba
Asante Meridianbet kwa taarifa
Caroline
Kai utapaweza Chelsea
Asia Abdy
Itakua poa akienda Chelsea jamaa n jembe
warda
Ajitahidi tu Atahamia Huko Mana Chelsea Nao Wanamtaka #Meridianbettz
Mwanahamisi
Habari njema
Adelta
Asante kwa taarifa
Genia Sikaluzwe
Habari jema sana
Evaluziga
Good news
Salma
Habari nzuri kwa shabiki wake
Leonard
Habari nzuri
Khadija
Habari njema sana#meridianbettz
silvatira
welcome chelsea kai
devotha
habari nzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri haende tuu