Manchester City na Juventus zimeongeza juhudi za kumsaka winga wa Wolves na Uhispania Adama Traore, 24 ambaye pia anayatiwa na Barcelona.
Chelsea wanapigiwa upatu kumsajili mshambuliaji wa Bayer Leverkusen Kai Havertz, 21, baada ya klabu kadhaa za Ujerumani kushindwa kufikia bei ya euro milioni 90 kumpata mchezaji huyo.

Barcelona imeulizia kuhusu usajili wa kiungo wa kati wa Tottenham Mfaransa Tanguy Ndombele, 23, na mlinzi Ryan Sessegnon kutoka Uingereza katika mpango utakaohusisha ubadilishanaji wa wachezaji.
Spurs huenda wakamsajili kwa mkopo Sessegnon msimu huu wa joto licha ya hofu kwamba nyota ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20-inafifia chini ya ukufunzi wa Jose Mourinho.
Borussia Dortmund imeipatia Manchester United hadi Agosti 10 kukamilisha mchakato wa usajiliwa winga wa England Jadon Sancho, 20.

Mshambuliaji wa England Tammy Abraham, 22, ameiambia Chelsea kwamba anataka mkataba mpya wa thamani ya £130,000 kwa wiki.
Mkufunzi wa West Ham David Moyes anatafakari uwezekano wa kuwanunua wachezaji wa Manchester United Phil Jones, 28, na Jesse Lingard 27.
Arsenal, West Ham na Everton wanamtaka beki wa Athletic Bilbao na Uhispania Unai Nunez,23.
Rais wa Barcelona Josep Bartomeu amesema klabu hiyo huenda isimsajili tena mshambuliaji wa Brazil Neymar, 28,kutoka Paris St-Germain msimu huu wa joto.

Saint-Etienne ina matumaini ya kumhifadhi kwa mkopo beki wa Arsenal Mfaransa William Saliba, 19.
Winga wa Uholanzi Tahith Chong, 20, huenda akaondoka Manchester United kwa mkopo msimu ujao, kwa mujibu wa ajenti wake.
Barcelona imemhakikishia mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29, kwamba yupo katika mpango wa klabu hiyo msimu ujao.


Antony Luseno
Neymar kurudi barca inabidi apunguze mambo ya ujana
Leonard
Wenye uwezo ndio atafanikiwa
Ester jackson
Chelsea ya msimu ujao itakuwa moto wa kucheza mbali sio kwa usajili ambao wanafanya hasaivi
Evaluziga
Wenye uwezo ndio watakao fanikiwa
Dorophina
Tnx kwa makala nzuri
David Pere
Hilo no kipindi Cha kutengeneza timu lazima timu ziwe bize Sana na Mambo ya usajili bila ya hivyo watavulunda tu kwenye ligi zao
Neema juma
Habari nzuri
Latifa juma mohamed
Chelsea kwa msimu ujao Mambo yatakuwa vzr c kwa usajil huu
Caroline
Asante meridianbet Kwa taarifa
Johnmary joel
Chelsea wamesajili wachezaji wazuri msimu ujao watakuwa vizuri#meridianbett
Samiah
Nihabari njema
Salma
Habari nzuri
Emmy cleopa
Habari nzuri
Khadija
Chelsea msimu ujao mambo yatakuwa moto sio kwa usajili huo#meridianbettz
Theckla
Asante kwa taarifa
Tahiya
Good news
JULIANA
Asante kwataharifa
Flomena
Barcelona imemhakikishia mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29, kwamba yupo katika mpango wa klabu hiyo msimu ujao.#meridianbettz
Gabriel
Hv nice update 👍
felister
ahsante kwa makala
Revina
Msimu ujao Chalsea itakuwa ni moto wa kuotea mbali
silvatira
abraham pia anastahili nyongeza ya mshahara
isha
Habari njema
Hope mwaikuka
Axante kwa habar
Amiri Kayera
Neymar atulie t club moja
devotha
asante kwa makala
farida ahmadi
Habari njema Sana na nzuri Sana meridian endeleeni kutupa habari motomoto km hz
Isaya massawe
Juve wakimpata traore itakua poa sana
Omary lukumbi
Habar njema ila kwa man United wafanye hima sana kumsajili sancho fundi
Sabrina
Maoni:pesa yao tu mwenyepesa za kutosha anaweza kufanya usajili
fatumakasom
Man u wafanye haraka kumsajili sancho
warda
Duuu basi yupo juu#Meridianbettz
Mwanahamisi
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Basi yupo juu
Ernest
Napata shaka na kauli ya Barca juu ya Griezmann
Furahav
Habari nzuri.
Zeiyana
Neymar Barcelona ndio inayomfaa.
Issa
Habari nzuri