Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea, Frank Lampard ameelezea uamuzi wake wa kumuacha  kutoka kwenye kikosi cha kwanza tangu ligi ya Uingereza kurejea.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Italia, ambaye amehusishwa na kuhama huko Stamford Bridge bado hajaanza katika michezo yoyote ya Chelsea tangu kurejea tena kwa ligi, ikiwa ni pamoja na game yao ya usiku wa jana dhidi ya Crystal Palace huko Selhurst Park ambako Chelsea aliibuka na ushindi wa Goli 3-2.

, Frank Lampard Bado Ana Mpango na Jorginho, Meridianbet

“Jorginho hapaswi kufanya chochote tofauti ili apangwe, Anafanya mazoezi vizuri, ni mzuri ndani ya timu na nje ya uwanja, ni Nahodha msaidizi wa klabu”.

“Ni chaguo langu kwa sasa na kile ninachokiona bado kuna michezo mbele yangu, naanza jinsi ninavyopenda kuwa katika kiungo cha kati”.

“Wakati mwingine kukosekana kwake kunaweza kuathiriwa na wachezaji wengine ambao wako kwenye nafasi yake, ambapo nadhani tunahitaji sifa za kujihami zaidi kwenye mchezo. Haitaji kufanya kitu chochote, ni chaguo langu tu.”

35 MAONI

  1. Kocha yoyote anayejua kazi yake lazima amuelewe jorginho kuwa ni mchezaji mzuri na mwenye kujituma sanaa anapokuwa uwanjani

  2. Jorginho hapaswi kufanya chochote tofauti ili apangwe, Anafanya mazoezi vizuri, ni mzuri ndani ya timu na nje ya uwanja, ni Nahodha msaidizi wa klabu. #meridianbettz

  3. Lampard ana feli wapi atalikosa jembe hilo ana shindwa kutuliza presha ya mashabiki na taarifa za kufikia kuondoka asiangalie pekee usajili tuu pia angalie na aliokua nao wanamchango.mzr tuu kwake

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa