Aliyekuwa kocha wa magolikipa wa Manchester United, Emilio Alvarez amesema kuwa golikipa David de Gea ndiye alikuwa sababu ya yeye kuondoka klabuni hapo.
Alvarez alimfundisha golikipa huyu alipokuwa Atletico Madrid, lakini pia alipata nafasi ya kufanya naye kazi pale Manchester United, kabla hajaamua kuondoka Old Trafford Septemba mwaka jana.
Alvarez anasema kuwa alimsaidia golikipa De Gea mwaka 2011. Lakini ansema aliondoka United kwa sababu hakuwa anataka tena kuendelea kumfundisha De Gea.
Kulikuwa na tetesi kuwa klabu iliamua kumsimamisha majukumu yake. Laini, kwa mujibu wa mkufunzi, anakanusha kuwa si kweli kuwa Manchester United walimfuta kazi. Bali aliamua kuondoka klabuni hapo.

“Ilikuwa ni kwenye kikao fulani. Walikuwa wanataka niongeze mkataba, nikawaambia kuwa siwezi kuongeza kwa kuwa sitaki kuendelea kumfundisha De Gea.”
Ukiacha kuwa mshauri wake mzuri kule Atletico Madrid, ambako Emilio Alvarez alimsaidia kuwa moja ya makipa bora zaidi. Alvarez anasema yeye ndiye alimshawishi golikipa huyu kusaini mkataba na klabu ya Man United.
Kocha huyu wa zamani anamlaumu De Gea kwa kusaini mkataba wake unaomuweka Man U hadi 2023 bila yeye kufahamu. Kitu ambacho anakiona kama ni kukosa uaminifu kutokana na uhusiano waliokuwa nao.
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Tahiya
Nini shida hapo ya yeye kuondk mbona hajatoa sababu ya kueleweka
Evaluziga
Acha aende Maisha popote
Antony Luseno
De gea binafsi ashachoka kukaa united anatamani abadilishe mazingira
Latifa juma mohamed
De gea may be alichoka kher abadilishe mazingira
David Pere
Aligundua kuwa ashafanya kazi yake ishaisha tayari na ashakuwa kipa mzuri na yegemeo kubwa kwa Invited
Sadick
Du Emilio Alvarez ameniacha mdomo wazi bila shaka kuna mahali alitaka De Gea aende mwisho ameona lengo lake halijatimia ameamua kufungasha virago#meridianbettz
Fatuma kasomo
Acha aende tu maisha popote
Salma
Hapo kuna tatizo
Ester jackson
Alikuwa na sababu zake za kuondoka ila asimsingizie mtu
felister
tatizo asa ni Mimi…?
Khadija
Aende tuu kwan kambi popote#meridianbettz
Tatu
Ukitakavkuondoka sehemu usitoe sababu za uongo labda kesho unaweza kuludi mahali hapo
Flomena
Ukiacha kuwa mshauri wake mzuri kule Atletico Madrid, ambako Emilio Alvarez alimsaidia kuwa moja ya makipa bora zaidi. Alvarez anasema yeye ndiye alimshawishi golikipa huyu kusaini mkataba na klabu ya Man United.
Franky
Sad story..
Magdalena
Apo kutakuwa na sababu kubwa ya kufanya yeye aondoke lakini asimsingizie de gea
Genia Sikaluzwe
Acha aende maisha pote
Dorophina
Maisha popote pale huamuzi ni wake huenda amechoka kufanya kazi man u
Adelta
Maisha popote acha aende
Elika
Maneno ya mkosaji hayo
isha
Kila la kheri kila uendapo maisha ni popote
mwajumah
Aende tu ata nilikua simkubali#Meridianbettz
devotha
inamaana alikua anataka kumuondoa de gea man united, lakini hajafanikiwa nenda salama Emilio
Angelina
Kuna jambo hapo sio bure
Zeiyana
Asante kwa taarifa za emillio.
Hope mwaikuka
Safar njema tu amtakie
sabrina
Mmmh hapa kunakitu kwanini Emilio amlaumu De Gea kusaini mkataba unaomuweka man u na kukataa tuhuma zinazomkabili za yeye kufukuzwa man u hizi tuhuma zinaweza kua za kweli kuna kitu walikiona uongozi wa Manchester united ndio maana wakamtimua Emilio Alvarez pengine alitaka kumuondoa De Gea man u
Warda
🤣🤣🤣Degea aliangalia mshiko tu#Meridianbettz
Issa
Good news
Theonestina
Acha aende
Gabriel
Taarifa mzur
Povel tz
Gud news
Amiri Kayera
Duh kumbe
Saupha mohamed
Duuu atalii
Shafii
Asante kwa taarifa# meridianbet
neema hassan
Kambi popote
Frank Patrick
De gea alimyuda mwalimu wake
caroline
mbona kama una roho mbaya
Lydia Emmanuel Magoti
Wacha uwende kambi kokote amna kulaza damu
Ernest
ata mimi binafsi nilitamani sana De Gea kuihama Man U na kujaribu bahati yake sehemu nyingine
Furahav
Habari nzuri.
Samira
De gea ni kipa mzuri sana aache kuongea uongo
Njiku
De gea ni goli kipa mzuri sana pia alves sijui kwa nini anaonekana kama ajapendezewa na kipa huyo na kusema alikuwa ataki kuendelea kumfundisha tena de gea
Omary lukumbi
David de gea the best goalkeeper in world
Edgar
Pole sana
Theckla
Binafsi bora aende akapate changamoto mpya
mwakalosi
hafadhari kafuta uvumi mbaya uliokuwa unasambaa
lombo
gud news mambo ni moto na meridianbet
Rehema
Gud news
Samiah
Pole sanaa