Unai Emery ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Villareal.
Meneja huyu wa zamani wa Arsenal, ambaye pia amewahi kuwepo Paris Saint-Germain na Sevilla amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kufanya kazi na klabu hii ambayo ilimaliza katika nafasi ya 5 kwenye msimamo wake wa LaLiga mwaka 2019-20.
Hii inakuwa kazi ya kwanza kwa meneja Emery tangia alipotumbuliwa na washika mtutu Novemba iliyopita baada ya kushinda gemu 1 tu katika mechi 9 za msimu mzima.
Meneja huyu alichukua nafasi ya Arse ne Wenger pale Emirates Stadium mwaka 2018, alishindwa kuwarejesha Arsenal kwenye Ligi ya Mabingwa na akapoteza Ligi ya Europa kichapo cha bao 4-1 dhidi ya Chelsea mwaka jana.
Ameanza safari mpya kwa kuchukua nafasi ya Javier Calleja, ambaye amesepa Villareal mwisho wa msimu wa Ligi licha ya kufanikiwa kuwarejesha kwenye Ligi ya Europa.
Akizungumzia kumuachia kijiti Emery, Javier Calleja amenukuliwa akisema:
“Sina kitu ninachojutia lakini nimeumia. Sasa ni wakati wa Unai Emery na ninatumaini atawafikisha mbali kadri iwezekanavyo. Nimeumia namna hii ilivyotokea. Ningeweza kufanya kwa utofauti zaidi.
Huenda hii ikawa ni safari ya mafanikio kwa Unai Emery ambaye anaenda kukutana na changamoto na msukumo tofauti na ule wa EPL.
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.


Sadick
Unapokuwa kuwa Kocha siku zote mabegi yako yawe tayari maana hujui lini na saa ngapi utatupiwa virago vyako. Ni kazi yenye presha wakati wote#meridianbettz
Zuhura omary kindamba
Kazi ya ukocha ni ngumu sana
Ernest
Umefika wakati wake sasa kwa Unai Emery kujaribu bahati yake kwa mara nyingine tena kuona kama ataweza leta upinzani kwenye ulimwengu wa soka, Kila la kheri Unai
Povel
Nakumbuk maneno ya special one Jose Mourinho) ukiwah kocha uwe tayar kuajiriw na kufukuzwa ndo kinachotokeah kwa unaiy miez 6 iliyopitah alifukuzwa Arsenal now amepata deal jipya kwa manyambiz Villarreal kila la kheri kwny majuku mapya
Amiri Kayera
Vzur kocha akos team
Johnmary joel
Kaza buti pambana#meridianbett
Theonestina
Hongera yake.maisha popote
Janeflora malisa
Ni vzr
Furahav
Hongera sana.
devotha
kila la kheri Emery natumaini utafanya vizuri na kuiweka Villareal katika nafasi nzuri
Genia Sikaluzwe
Nikocha mzuri sana
neema hassan
Pongezi kwake
Gabriel
Greatest update 👍
Omary lukumbi
Great news kwa villareal unai ni kocha mzr tuu
Neema juma
Pongezi kwake apige kazi
Njiku
Ongera kwake acha tuone na uko hatafanya nini
Franky
Kweli aliota ndoto isiyo na rangi ila Leo ime kua na rangi safii sanaa
Leonard
Akafanye kazi tu timu inamtegemea
Fatuma kasomo
Pongezi kazi popote
Zeiyana
Mda wake sasa kocha unai emery kufukia makosa yake yote ya awali tunategemea matokeo mazuri Villa real
Angelina
Good news
mwajumah
Pongezi kwake#Meridianbettz
Magdalena
Kazi ya ukocha unahitaji moyo
Khadija
Ukocha c kazi nyepes ni kazi ngumu sana maana wengime watasema kocha anapendelea kumbe mwenyewe ndio anayejua#meridianbettz
Aziza mushi
Pongezi kwake
Ester jackson
Popote kambi kazi kazi ya ukocha nisawa sawa na abiria
Tatu
Kocha mzuri sana
Dorophina
Pongezi kwake najua atafanya vizuri
Theckla
Apambane tu
felister
popote kambi kaza buti
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera Sana maisha popote
Sylvester
Labda Spain kutamfaa ila kwa falsafa yake ya ufundishaji hakuweza kabisa kufua dafu Uingereza
Rehema
Hongera zao
Rose kapinga
Maisha popote,jitihada zinaitajika!
Issa
Anaweza kufanya poa huko hispania maana ni ligi anyoijua vizuri
Hope mwaikuka
Habar nzur
Shafii
Gud news.
David Pere
Ndio kazi yake popote kambi maana ukiwa kocha wa mpira wa miguu tarajia kufanya kazi popped duniani
warda
Hongera yake #Meridianbettz